Tabia ya wadada kuweka kopo la kukojolea ndani inatokana na nini?

Kama ni nyumba ya watu wengi ,wanaogopa uti mana huu ugonjwa unawatesa sana wadada ...ile frequently kwenda kukojoa ni risk kwa upande wao kiafya
We ndo umetema madini...na hii ya kuogopa UTI imenifanya nikojoe huku nimesimama!

Ule ugonjwa mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…