Tabia ya Usaliti haijawahi kumwacha Mtu Salama,Zitto unaonja dhambi ya usaliti

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,856
Mtakumbuka kijana huyu alivyokuwa na heshma kwa jamii ya watanzania.Gafla akataka kukusaliti chama chake CDM"Enzi hizo kwa maslahi yake binafsi na Ccm
Kutokana na umakini wa mwenyekiti Mbowe na wenzake,Wakamwahi kabla kabwe hajaleta madhara kwa chama.
usaliti huo ulimfanya zitto kufukuzwa chadema na kwenda ACT huko nako ni tawi la ccm waliloliandaa endapo mpango wao wa kuipindua Cdm utafeli.
Sasa ukitaka kujua dhami ya usaliti haijawahi kumwacha mtu salama,Leo zitto kabaki mwenyewe kwenye chama chake.
Kulikuwa na mpango wa kumpa shavu kwa kazi aliyoifanya ya kuivuruga Chadema Lakini kwa bahati mbaya kapewa Kitila.Akiwa anavuta subira,mama Anna katwaliwa.
Na kwa bahati mbaya Mama Anna yeye kahama ACT kabisa na kujiunga Ccm.
zitto rudi uwaombe msamaha wanachadema,Usaliti ni dhambi mbaya na haikuwahi kumwacha mtu salama kamwe.
 
Na kwa bahati mbaya Mama Anna yeye kahama. ACT kabisa na kujiunga Ccm.
zitto rudi uwaombe msamaha wanachadema,Usaliti ni dhambi mbaya na haikuwahi kumwacha mtu salama kamwe.
Duh..watu mnatumika vibaya aisee! Mtanzania wewe, tafuta kazi ufanye. Umbea na ushamba wa mitandaoni hautakuletea chakula mezani
 
Hii ni KARMA...! Na bado tutajionea mengi kwa hali hii sijaona upinzani wa kuitoa ccm madarakani!
 
Trending topic today ni "NEW COUPLE IN TOWN" Mbowe na wema sepetu
 
Nakumbuka uzi wake humu December 2012 akiomba samahani kwa viongozi wenzie na wanachama wa CHADEMA na kudai kwamba kuanzia 2013 atabadilika na kuanza kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wanachama na viongozi wenzie Chadema.

Kulikuwa na maswali mengi kwenye ule uzi wake lakini alikuwa akiyakwepa au bila kutoa majibu yaliyoeleweka.

Aliulizwa umefanya makosa gani mpaka umeamua kuomba samahani akajibaraguza tu bila kutoa jibu la kueleweka.

Kulikuwa na swali lingine kuhusu namba yake ya simu kutumika katika mawasiliano na Rostam Aziz miezi miwili kabla ya uchaguzi mkuu wa 2010 na namba iliwekwa hapa. Alijibu ile kweli ni namba yake lakini aliacha kuitumia kama miezi sita iliyopita. Akaulizwa sasa wewe unaona namba yako imeandikwa kutumika kwanini hukutoa taarifa kwenye vyombo vinavyohusika ili wafuatilie ni nani anayetumia namba yako!? Akakwepa swali. Swali jingine je hiyo namba yako ulimruhusu mtu mwingine aitumie hivyo labda huyo mtu ndiye aliyekuwa akiwasiliana na Rostam akapotezea swali.

Tangu uzi ule nilipoteza imani kwa huyu na haukupita muda mrefu alitaka ule uzi wake wa kuomba samahani ufutwe humu na pia nyuzi zake na mabandiko yake yote alitaka yafutwe na vyote vikafutwa.

Mtakumbuka kijana huyu alivyokuwa na heshma kwa jamii ya watanzania.Gafla akataka kukusaliti chama chake CDM"Enzi hizo kwa maslahi yake binafsi na Ccm
Kutokana na umakini wa mwenyekiti Mbowe na wenzake,Wakamwahi kabla kabwe hajaleta madhara kwa chama.
usaliti huo ulimfanya zitto kufukuzwa chadema na kwenda ACT huko nako ni tawi la ccm waliloliandaa endapo mpango wao wa kuipindua Cdm utafeli.
Sasa ukitaka kujua dhami ya usaliti haijawahi kumwacha mtu salama,Leo zitto kabaki mwenyewe kwenye chama chake.
Kulikuwa na mpango wa kumpa shavu kwa kazi aliyoifanya ya kuivuruga Chadema Lakini kwa bahati mbaya kapewa Kitila.Akiwa anavuta subira,mama Anna katwaliwa.
Na kwa bahati mbaya Mama Anna yeye kahama ACT kabisa na kujiunga Ccm.
zitto rudi uwaombe msamaha wanachadema,Usaliti ni dhambi mbaya na haikuwahi kumwacha mtu salama kamwe.
 
Zito angekuwa very potential candidate wa muungano wa vyama vya upinzani come 2020. Likelihood ya Lowasa kusimama 2020 ni ndogo coz ya hali yake ya afya.

Magu na manguli wa CCM wametumia hesabu kali sana kumwahi Zito mapema. They have made an incredible anticipation.
 
Duh..watu mnatumika vibaya aisee! Mtanzania wewe, tafuta kazi ufanye. Umbea na ushamba wa mitandaoni hautakuletea chakula mezani
Nyani haoni kundule lake.

Unaomuona mwenzio yupo mtandaoni wewe uko wapi?
Au wewe ni roboti?
 
Hii ni KARMA...! Na bado tutajionea mengi kwa hali hii sijaona upinzani wa kuitoa ccm madarakani!
Na wewe unafurahi na kupiga vigelegele. Hicho chama chako ndicho kimetufikisha hapa hapa tulipo. Ndo mnajifanya mmeshtuka sasa. Yaani mnajishangaa wenyewe kuwa mmefikaje hapo. Na amini usiamini, hakuna kitakachobadilika hata mbaki madarakani mielele. Hamjui mlipojikwaa, hamjui mtokee wapi!
 
Ukijua kujibu uwe unajua kuelewa swali. Usikurupuke, au ndo mchanga wa dhahabu umekuingia kichwani?
Kwa taarifa yako ndio umekuingia wewe, nyie ndio mnaojifaya wazalendo sasa hivi wakati mlipokuwa mnaokoka moto hamkujua utawaunguza ninyi?
Sasa acheni kulia lia, mlishazoea kushikiliwa akili na mnaachiwa za kusema ''Ndiooooooo" bila kutafakari madhara yatakayotokea.

Kamwe hamutaweza kujifunza japo mnajikwaa kila siku lakini ndio hamuoni
 
Mtakumbuka kijana huyu alivyokuwa na heshma kwa jamii ya watanzania.Gafla akataka kukusaliti chama chake CDM"Enzi hizo kwa maslahi yake binafsi na Ccm
Kutokana na umakini wa mwenyekiti Mbowe na wenzake,Wakamwahi kabla kabwe hajaleta madhara kwa chama.
usaliti huo ulimfanya zitto kufukuzwa chadema na kwenda ACT huko nako ni tawi la ccm waliloliandaa endapo mpango wao wa kuipindua Cdm utafeli.
Sasa ukitaka kujua dhami ya usaliti haijawahi kumwacha mtu salama,Leo zitto kabaki mwenyewe kwenye chama chake.
Kulikuwa na mpango wa kumpa shavu kwa kazi aliyoifanya ya kuivuruga Chadema Lakini kwa bahati mbaya kapewa Kitila.Akiwa anavuta subira,mama Anna katwaliwa.
Na kwa bahati mbaya Mama Anna yeye kahama ACT kabisa na kujiunga Ccm.
zitto rudi uwaombe msamaha wanachadema,Usaliti ni dhambi mbaya na haikuwahi kumwacha mtu salama kamwe.
Dj aliyeleta fisadi kuu unamchukuliaje??sio msaliti wa mapambano halisi??
Hapa umetumia hisia.
 
Back
Top Bottom