My Triplet, pole sana kwa yaliyokukuta. Nona wadau wengi wamekushauri. Binafsi nshachomeshwa sana tu mahindi, yaan mie ni muhanga wa kuchomeshwa mahindi ila sikomi. Huwa nakasirika mpaka mwisho lakini sijui huruma inatokea wapi nasamehe na kusahau. Kweli huo ni udhaifu wangu.
Fuata ushauri wa wadau hapo nyuma!