Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Hey c unajua nam ur wi...
mimi naanzia wapi nahisi ukiniambia saa mbili alfajiri nitakuwa nishafika hahaha naanzaje kuleta dharau from no where
wewe ndo originale ukimuona excel anachepuka nimention lol
Ila huyo shemeji naye si mkazi wa Dar, kama walipanga wakutane saa tano basi angejipanga kuondoka muda wa kukadiria ambao ungemuwezesha kufika kwenye eneo la makutano muda muafaka?
Sijui ulichomuandikia mpenzio. Ila kama uliandika vitu vya kawaida hofu unakuwa nayo ya nini? Labda uwe tegemezi kwake "100%" au umekuwa limbukeni wa penzi lake ndo utakuwa na hiyo hofu. Endapo umeandika vya kawaida, na mpenzio ni mwelevu basi hamna haja ya kuwa na hofu.
Na huyo mdogo wake nishawah skia habar zake.huwa haziend na kaka ake.yaan dak.2 mbele..hayupo hvo mpenz wangu.n mskivu na anapenda kutoa fair decision
Ha ha ha ha. .na nkchepuka nae mie??? Lol
Aaaghka.n rafik tuuuuuuu