Tour De France
JF-Expert Member
- Jun 12, 2014
- 345
- 336
maana yake ni kwamba humjui kwa tabia na mienendo yake. Yawezekana yeye kwa asili yake si mtu anayejali mda (wapo watu wa hvyo), lakin pia kwa kuwa hakuwah kukuona pia na hana mazoea na wewe hajawa na ile concentration kwako kama shemej yake. Kikubwa tunza hizo sms kama ushahidi siku ya kesi. Lakini pia jiandae kwa maelezo mazuri kuhusu kujibizana huko maana yeye kuchelewa kufika yawezekana siku ya kesi akatoa sababu nzuri kabisa ya kwa nin alichelewa ambayo wewe hukuweza kuvumilia na kumsubiri ili akwambie kwa nin alichelewa ila mkaishia kujibizana hovyo.
Mwisho wa siku jiandae kuomba msamaha, huyo ni shemeji yako na yawezekana kakukosea na ulikuwa na sababu ya kureact lakin kama huyo jamaa yako ni mtu ambae unataraji kuoana nae ni vema ukaomba msamaha kwa shemeji yako usianze kutengeneza maadui mapema ktk familia ambako unataraji kwenda huwezijua huyo shem ana ushawish gani kwa wanafamilia wengne.
Namaanisha hata ukionekana we ndo unadeserve kushnda hiyo kesi, usijejigamba na kutembea kifua mbele kwa kumwonyesha shem wako kuwa ni looser! Endelea kuwa nae tu positively kama shemej yako
Kwa maelezo hayo kama huja yachakachua then huyo mpenzi wako hana sababu ya kukukasirikia wewe,unless kama mpenz wako ni wale wanao endeshwa na ndugu bila kujali uhalisia wa jambo.
Jambo la pili,ndugu yangu hana mamlaka ya kumtukana mpenzi wangu,hata kama ana makosa.Kwahiyo alitakiwa kulikemea hilo kwanza bila kasubiri arudi.Kwa hili nina wasiwasi jamaa atakuwa ni type ya watu niliotaja hapo juu
maana yake ni kwamba humjui kwa tabia na mienendo yake. Yawezekana yeye kwa asili yake si mtu anayejali mda (wapo watu wa hvyo), lakin pia kwa kuwa hakuwah kukuona pia na hana mazoea na wewe hajawa na ile concentration kwako kama shemej yake. Kikubwa tunza hizo sms kama ushahidi siku ya kesi. Lakini pia jiandae kwa maelezo mazuri kuhusu kujibizana huko maana yeye kuchelewa kufika yawezekana siku ya kesi akatoa sababu nzuri kabisa ya kwa nin alichelewa ambayo wewe hukuweza kuvumilia na kumsubiri ili akwambie kwa nin alichelewa ila mkaishia kujibizana hovyo.
Mwisho wa siku jiandae kuomba msamaha, huyo ni shemeji yako na yawezekana kakukosea na ulikuwa na sababu ya kureact lakin kama huyo jamaa yako ni mtu ambae unataraji kuoana nae ni vema ukaomba msamaha kwa shemeji yako usianze kutengeneza maadui mapema ktk familia ambako unataraji kwenda huwezijua huyo shem ana ushawish gani kwa wanafamilia wengne.
Namaanisha hata ukionekana we ndo unadeserve kushnda hiyo kesi, usijejigamba na kutembea kifua mbele kwa kumwonyesha shem wako kuwa ni looser! Endelea kuwa nae tu positively kama shemej yako
Nahofia penz letu..naona kama limeingia doa hivi .Sioni sababa ya kuwa na wasiwasi. Jiamini
Kuna binadamu hawajui kuthamini muda wa wenzao. Unakuta ndio kwanza anaenda kuoga halafu anakwambia nitakua hapo baada 6a dakika 10
....kama akikuzingua wewe njoo kwangu tu....nikupe maloveee ya kihindi mtoto unenepe kama big show....mbona mimi mwenyewe longtime nakuzimikia tu....acha kuishi kwa wasiwasi kama unakaa manzese au tandale.....achana na boya huyoo...ambaye mambo madogo kama hayo anashindwa kuya handle mpaka aunde tume.....iko siku akitaka kuku bandua ataita kikao cha ndugu kwamba jamani leo nakula mzigo sasa nimueweke style gani......ningekuwa hapo kitambo ningesharudi...mara moja na ningem butua dogo mbele yako honey...ili ujue mimi sio wa mchezo.....alla....
Akiwa na akili atafuata huu ushauri lkn akiwa ndo walewale basi ataendelea kuntangaza shemej yake kuwa dk mbili mbele sijui haziivi na kaka yake sjjui nini!... hujaolewa tayari ushaanza kuchagua marafiki wa ndugu wa mume? Unajua kwa nn mchumbaako anaishi na mdogo wake mpaka sasa? Unajua ni kiasi gani anampenda mdogo wake? Na akiendelea hivi itafika muda jamaa itabidi achague mchumba au mdogo wake na si wote wanaoegemea upande wa mchumba wengine huwaambii kitu kwa ndugu zao! Atachagua upande wa ndugu yake na hapo atapokuja tena kuntangaza!.. ndoa wanazitaka lkn kuvumilia na kujipa muda wa kuwasoma ndugu hamuwezi!
Kwanza kabla sjakujbu unahisi ni aina gani ya hadith? ?
Wewe una uhakika gani kama jamaa hajamkemea mdogo wake? Anaweza akamkemea na asimwambie rafiki yake wa kike kwamba amemkemea mdogo wake. Na kusema mpenzi wake asubiri akija wataongea kwa nini kunampa wasi wasi huyu dada? Au kuna jingine nyuma ya pazia ambalo hatujaelezwa hapa?
Tatizo la kutunza muda ni sugu kwa watu wengi. Mimi napenda kutunza muda na nikipanga kukutana na mtu the maximum time I can wait is 15 minutes. Baada ya hapo utanisikia redioni. Yaani nikusubiri for 2 hours? No way.
Tiba
Huu ugese,ndo wanawake wa siku hizi hawa,hawajielewi.
Unataka umwendeshe nani?na hapo labda kama anakugonga tu huyo jamaa c wa kukuoa,uta-qualify kwl ww siku umepelekwa kwao?Halafu et unaleta taarifa hapa.