Hapana..sometimes tunatakiwa kuwa wavumilivu coz ukiamua kumuacha kwa kosa lnaloongeleka na kusameheka unadhan ntaacha wangapi The Boss kaka angu??ilhal mm n mdada na s mkaka.ingekuwa mkaka kuacha rahs sana s ntantafta mwngne..
hukunielwa sikusema umuache
nimesema usiogope to show your true emotions..
usi pretend its okay kwa woga wa kumkosa mpenzi
onyesha waziwazi walivyokutibua.......na mpenzi akiwa anamtetea mdogo wake mpe makavu live kuwa amekutibua..
avoid emotional suppression..not good for your health....na sio nzuri ku hide true feelings pia
Yan unamsubiri mtu saa nzima??
Nadhani 10 mins ni nyingi sana.
Kuna mtu alinisubirisha sehemu masaa matatu halafu hakutokea. Nilishika adabu, niasema kuanzia siku hiyo ni dk 10 tu za kumsubiri mtu.
Jamani wana MMU yamenikuta, wiki hii nilipanga nikutane na shemeji yangu wa kiume, yaani ndugu wa damu wa mpenzi wangu. Nilitaka kukutana nae maeneo ya ubungo stand ili aweze kunipa funguo ya nyumba ya mpenzi wangu ambaye kwa sasa yupo safarini nje ya jiji na baadhi ya vitu ambavyo alikabidhiwa na kaka yake siku ya safari yake na wakakubaliana ataniletea. Hapo nyuma tulikubaliana siku fulani hivi kuwa aniletee lakini nilichoma sana maindi ama kuuza nyago bila ya shemeji kutokea na kwenye simu hakuwa akipatikana hewani wakati aliniambia anakuja, nilisubiri kama masaa mawili hivi.nilichukia sana lakini nikamsamehe na kukubaliana tukutane siku nyingine aweze kuniletea vile vitu.
Wiki hii sasa,
Tukakubaliana avilete vile vitu hapo ubungo stand na nilimpa tahadhari ya kujali mida kwani siku hiyo nilikuwa na sehemu zingine za kwenda, so on time awe amefika na yeye akahafiki hilo na kukubaliana iwe saa 5 asubuhi.basi on time bidada nikafika zangu ubungo na kumpigia kumjulisha kama mimi nimekwisha fika.
1-alichelewa kupokea simu kama mara 2 hivi na alipopokea akasema yupo njiani anakuja, nilipo muuliza yuko wapi akasema hajui wapi.
Nikapata wasi wasi kwa kauli yake hiyo, nikampigia mpenzi wangu na kumuomba amuulize mdogo wake yuko wapi.kweli akatekeleza akanipa jibu lililonikera, kwamba ndo anatoka nyumbani maeneo ya buguruni kwa shangazi yao.
Nikavuta muda kama dak.15 nikampigia nikamuliza tena umefikia wapi akanijibu nipo river side na nimpe kama dak.10 atakuwa amefika.nilikuwa makini sana na muda wangu lakini nilipochek time ilikuwa saa sita mchana.nikamvumilia lakini mpaka saa sita na dak.20 hakuwa amefika.nikamtumia sms nikamwambi kama upo mbali sema mm niendelee na my schedule akasema hayupo mbali nimsubiri, nilikaa mpaka dak30 ya saa sita hakuw amefika.
Sasa ikawa inaelekea saa saba kasoro, kw kuw nilikuwa nimeshachelewa event moja nika I cancel lakini hii nyingine nilishindwa kui cancel nikamwambia "nakuomba shuka hapo ulipo na urudi kwani mimi sitaweza tena kukusubiri ninachelewa sehemu nyingine, hivo vitu viweke na atakuja kuvichukua kaka yako.hakunijibu basi mimi niakondoka zangu.saa saba anatumia sms eti nimefika uko wapi, nikamjbu niliko magomeni hospital. Akaanza kupanic na kunitumia sms mbaya.of coz mimi ni binadamu na nina hisia pia, na kwa kuwa alikuwa amekwisha nikwaza basi tulijibishana kwa sms na alishanitukana lakini mimi sikumjibu sms za kumtukana but nilimjibu kumuonyesha ni jinsi gani alinikera.
Nina hofu kwa mpenzi wangu kwa hili lililo tokeA, atanielewa kweli. ?? Kwasababu nilivo mwambia akasema siwezi liongelea hili kwa sasa nisubiri nirudi.yeye anarudi week ijayo na sku zilizofuata baada ya tukio tumekuwa tukiwasiliana kama kawaida.
Kiukweli nina wasi wasi. .
POle sana, unachona kwa huyo shemeji si ajabu ni mawasiliano ya jamaa yako na yeye, labda jamaa hakupi heshima stahiki... au tu shemeji yako hana adabu
mpe feedback jamaa yako, na pia jaribu sana kuavoid any encounter na huyo shemeji na kama jamaa anatuma kitu basi mwambie kabisa isipitie kwa huyo dogo
atakuletea majasho tu
POle sana, unachona kwa huyo shemeji si ajabu ni mawasiliano ya jamaa yako na yeye, labda jamaa hakupi heshima stahiki... au tu shemeji yako hana adabu
mpe feedback jamaa yako, na pia jaribu sana kuavoid any encounter na huyo shemeji na kama jamaa anatuma kitu basi mwambie kabisa isipitie kwa huyo dogo
atakuletea majasho tu
Ila kwa jina lako tu, heshima itakua nadra sana, maana majina ya humu JF yanaendana sana na tabia za watu... e.g. mimi janjaweed na vurugu ni damu-damu
Hatuna hata mazoea kama niweze kusema tulikuwaje.but tushawah wasliana kwa smu vzur tu..na hatujawah gombana
Hatuna hata mazoea kama niweze kusema tulikuwaje.but tushawah wasliana kwa smu vzur tu..na hatujawah gombana
fair decision?Na huyo mdogo wake nishawah skia habar zake.huwa haziend na kaka ake.yaan dak.2 mbele..hayupo hvo mpenz wangu.n mskivu na anapenda kutoa fair decision
mhh... skirini tachi balaaWao wenyewe background yao s nzur na mpaka sasa maelewano n dak2 mbele.inasemekana dogo mtata but kaka yake aldhN nw atakuwa kachange, kumbe dogo bado ana za ki childish. .mmh.kuna kutumwa tena hapo wakat kasema staki mni evolve kwenye jambo lenu lolote.nam kwakuwa hatujawah mshrksha lolote na nlkuwa na hasira zangu nkamzodoa kw swal yaan "tushawah kukuhussha lolote?"
So, sjui huko mbele itakuwaje but kwa sasa shtaj hata kumuona
haya... si mimi ni common tuNo, usipende m judge mtu ksa jna au muonekano.ts just an Id na haina uhalsia wowotw na maisha yangu.na nlkuwa namheshmu sana kama shemej yangu.co tuna future plan na kaka ake.so sjawah mkosea heshma
sasa wasiwai wa nini?
waswahili mbona tuna shida?
umsubiri mtu saa nzima halafu akutukane na uwe wewe una wasiwasi?
mimi hata mama yangu mzazi simsubiri saa nzima......
ukijiendekeza utakuwa 'a doormat kwa watu'
kila mtu atakusubirisha masaa kadhaa...kila wakati..
tell them to go to hell wote mtu na mdogo wake...