Tabia ya rafiki yangu inanishangaza

Tabia ya rafiki yangu inanishangaza

toccara

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
540
Reaction score
203
nafanya nae kazi sehemu moja mama na familia yake, lakini anaweza kunipigia simu kuwa atakuja kwangu kunisalimia siku ya weekend, basi nitakaa mchana wote haji ikifika saa 4 usiku ananipigia simu vipi umeshalala? mimi niko hapa nje kwako, mara mbili kanifanyia hivyo na akiingia ndani hana haraka ya kuondoka, juzi jumapili kanifanyia hivyo sikumfungulia na nikazima smu, jana nimefika ofisini namsalimia kanuna, waungana nisaidieni huyu mwanamke mwenzangu anania gani ni kunisalimia tuu tena usiku usiku au mi simwelewi? na anajua mimi ni mke wa mtu
 
Kwani anavyokuja kwako usiku huo baba anakuwa ameenda wapi? Chunga mama anataka kukuibia huyo!! Au kama sivyo na kama baba anakuwa hayupo basi atakuwa anataka msagane!!
 
mama wee huwamume wangu akija nae kukaa na mimi anasema shem kalale tuu, akiondoka ananiambia na wewe huyu mtu wako umemzoesha vibaya kweli mambo mengineya siri nakuja kuongea hatakiwi kuyasikia, ila hayo mambo ya siri sijawahi kuyasikia akiniambia zaidi ooh umeona movie fulani ya kinaigeria atanihadithia mwanzo mwisho, mi namshangaa tuu kwakuwa haina maana kuniadithia muda huu wakati kazini nakutana nae muda mwingi ataweza kuniambia hayo mambo
 
Sidhani kama unahitaji rafiki wa namna hiyo,kununa kwake kumekusaidia.
Hakikisha mnabakisha uhusiano wa kikazi na salamu tu,kutembeleana akatafute anaofanana nao.
 
huyo rafikio ni msagaji anataka akuingize kwenye vitendo vya usagaji.nakushauri mwogope sana jaribu kila anapo kupigia simu mwambie haupo nyumbani na kama ni usiku akikupigia na kukwambia yuko nje mwambie umelala na mmeo huwezi kuamuka au endelea kumzimia simu atagundua umemsitukia ushetani wake.lasivyo mpasulie laivu aache tabia hiyo
 
huyo sio rafiki mzur atakudhuru achana nae kabsa tena hakupendi kunakitu anachokitaka kwako tena kinainekana si kizur. siri gan wewe unataka kufanyanae had umfiche mumeo. atakuvunjia ndoa achana nae tena mpige marufuku atambue kabsa hutak upuuz wake
watu hatupendan na hatuaminiki kuwa makin sana.
 
mama wee huwamume wangu akija nae kukaa na mimi anasema shem kalale tuu, akiondoka ananiambia na wewe huyu mtu wako umemzoesha vibaya kweli mambo mengineya siri nakuja kuongea hatakiwi kuyasikia, ila hayo mambo ya siri sijawahi kuyasikia akiniambia zaidi ooh umeona movie fulani ya kinaigeria atanihadithia mwanzo mwisho, mi namshangaa tuu kwakuwa haina maana kuniadithia muda huu wakati kazini nakutana nae muda mwingi ataweza kuniambia hayo mambo

kazini tena muhadithiane muvi?Ah,muhadithiane hkohuko nyumani
 
Mmmnh... Mi urafiki wa namna hiyo hapana kwa kweli..!!

Yaan siku ya kwanza tuu ningemueleza mambo ya kuja kwangu muda huo utadhani ana dharura sitaki!!
 
Sidhani kama unahitaji rafiki wa namna hiyo,kununa kwake kumekusaidia.
Hakikisha mnabakisha uhusiano wa kikazi na salamu tu,kutembeleana akatafute anaofanana nao.

kwa kweli asante sana
 
Mmmnh... Mi urafiki wa namna hiyo hapana kwa kweli..!!

Yaan siku ya kwanza tuu ningemueleza mambo ya kuja kwangu muda huo utadhani ana dharura sitaki!!

asante kwa kunipa njia
 
kazini tena muhadithiane muvi?Ah,muhadithiane hkohuko nyumani

duh!! we acha tuu hiyo muvi yenyewe ninayo hadithiwana mimi nimeiona hata wewe utakuwa umeiona ni ya muda mrefu tuu
 
Kaolewa? Na kama kaolewa labda ana mchepuko so anakuja kwako kumzuga mme wake alikuwa kwa rafiki yake kumbe alivosema anakuja kwako katoka kwake saa 7 mchana kagegedwa weee then anakuja kwako saa 4 nite anampoteza maboya mme wake...haha mjini hapa

Usiniwaze kama huwezi kujiwaza.
 
Huyo kapitia sehemu kugegedwa,sasa anakuja kwako kupoteza lengo ya kwamba alikuwa kwako....
 
mueleze ili ajijue

Back
Top Bottom