WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,236
MODS... Namshangaa huyu jamaa ........Huyu jamaa amecopy na kupaste topic hii yangu niliyopost tarehe 08/04/2013 je huu ni uungwana? kwa nn asitafute ya kwake?
Hii si ilikuwepo hapa majuzi? Ama nimeanza kuwa na t8me clock naona yajayo? Doomsday is here, holy raviolli
https://www.jamiiforums.com/mahusia...e-asiyewasjibika-kitandani-2.html#post6096294
Hahaha tukisema kuwa hapa siku hizi utoto umezidi mnatuona wanaa
Jamaa anacopy kla ktu nukta hadi nukta .... kwa kweli sio utoto tu bali na ushamba ndani yake... fikiria topic ina views zaidi ya 3,000 ..........yeye anaianzisha upya na kujifanya n ya kwake noma sana!!!

Mkuu pilau, sikuiona humu jamvini, nadhani ilinipita maana nilikuwa busy na vita vya North Korea Vs US and her teritorry!! Sorry for plagiarising your work. Binafsi napenda habari kama hizi watu tujifunze, nadhani ndo lengo haswaaaa la wewe kukaa chini na kuianzisha. One family brother/Sister!!MODS... Namshangaa huyu jamaa ........Huyu jamaa amecopy na kupaste topic hii yangu niliyopost tarehe 08/04/2013 je huu ni uungwana? kwa nn asitafute ya kwake?
Yeah,Mkuu sikuiona kabisaaaa!! sorry for any inconvinience.Hii si ilikuwepo hapa majuzi? Ama nimeanza kuwa na t8me clock naona yajayo? Doomsday is here, holy raviolli
https://www.jamiiforums.com/mahusia...e-asiyewasjibika-kitandani-2.html#post6096294
Yeah, he has all the rights, sorry for any inconvinience. Binafsi nimeliona bandiko hili facebook.Hasa kama topic yenyewe ni ur own creation...du report abuse bana
Mkuu pilau, sikuiona humu jamvini, nadhani ilinipita maana nilikuwa busy na vita vya North Korea Vs US and her teritorry!! Sorry for plagiarising your work. Binafsi napenda habari kama hizi watu tujifunze, nadhani ndo lengo haswaaaa la wewe kukaa chini na kuianzisha. One family brother/Sister!!
pilau,topic umei-create wewe mwenyewe?mfano mtu aliona hapa ulipoweka kwa mara ya kwanza akakopi na kupest huko fb na wa ukenyenge akaiona fb na kuileta hapa unatoa kauli gani kuhusu hilo?
pilau,topic umei-create wewe mwenyewe?mfano mtu aliona hapa ulipoweka kwa mara ya kwanza akakopi na kupest huko fb na wa ukenyenge akaiona fb na kuileta hapa unatoa kauli gani kuhusu hilo?
Ahsante mkuu pilau .....kwa kunisamehe na kunielewa. Tuendelee kurekebishana...........Poa... tuko pamoja..........nimefurahi pia kusikia Face book nao wanachukua material kutoka Jamii Forum.....
Yeah, you are right mkuu, nikiangalia kwenye software ya plagiarism hapa, inanipa karibu 87%. So I didn't do my part professionally.that is typical plagiarism as far as i can tell one has to acknowledge the source.