Uandishi wako unachanganya sana.Ikiwezekana Uzi huu utaka na muendelezo hapa hapa, jipatie kiti if you're interested
Ukisoma katika biblia kuanzia mwanzo kuna habari muhimu sana kila mtu anafaa kuzijua kuhusu tabia ya Mungu,
Nakushauri nawe pia ukipata nafasi Tafuta Muda usome kitabu cha Mwanzo katika biblia kimeeleza tangu uumbaji, hadi kuja kulipata taifa la mtoto wa Ibrahimu aliyeitwa kwa jina la Israeli
Mungu alikua na ukaribu na familia ya Nuhu ambaye alijenga safina, kisha Ibrahimu, kisha Isaka, kisha Yakobo(Israel) mtoto wa Isaka.
Israel ndiye alikua rafiki wa Mungu na Mungu aliendeleza urafiki wake na Yakobo akijinadi kuwa yeye ni Mungu wa baba zake walio pita.
Tabia hii ya Mungu inatufundisha Kuwa Mungu anaweza kubariki familia au ukoo au Taifa kwa ujumla kwa kupitia mtu mmoja Tu
Yakobo alikua na watoto 12, na wake 2
mkewe Raheli aliyekua mzuri wa sura kuzidi mke mwenza alikufa kipindi akijifungua mtoto wake wa pili ndipo Israeli akabaki na mkewe Leah na masuria.
Dina kutolewa bikra kabla ya Mahari.
Tukio hili linapatikana katika Mwanzo 34 katika Biblia.
Dina, binti wa Yakobo, alitendwa kwa nguvu na Shekemu, mwana wa Hamori, mtawala wa eneo hilo. Baadaye Shekemu alitaka kumuoa Dina, na baba yake akaja kuzungumza na Yakobo kuhusu ndoa hiyo.
Ndugu zake Dina, hasa Simeoni na Lawi, walikasirika sana. Kwa hila waliwaambia watu wa Shekemu kwamba wangekubali ndoa ikiwa wanaume wote wa mji wangetahiriwa. Walipokuwa bado katika maumivu baada ya kutahiriwa, Simeoni na Lawi waliingia mjini na kuwaua wanaume wote, kisha ndugu zao wengine wakachukua mali na kuwateka wanawake na watoto.
Kwa kifupi: Simeoni na Lawi walifanya mauaji hayo wakiamini kwamba walikuwa wanalipiza kisasi kwa unyanyasaji aliotendewa Dina, lakini kitendo chao kilikuwa cha kulipiza kisasi kwa ukatili na kwa kutumia hila. Yakobo baadaye alikosoa kitendo chao kwa sababu kiliweka familia yake katika hatari.
Jambo la kutafari kwann Mungu hakuchukizwa na kitendo hichi cha watoto wa Yakobo ?
Israel wanayo sheria kua Usie lakini Taifa la Israel ni wauaji na mamafia wakubwa, kumwaga damu na kuteka nyara ndio ilikua tabia yao pendwa.
Mungu anapenda kutuona Tukifanya nini ?
Tupe andikoMungu hapendi usaliti na uharibifu hasa kazi zake na kumuhusu yeye.
Vijana achane ujuaji. Biblia ni kitabu rahisi sana ukibahatika kufundishwa na yeye Mungu (kupitia watu wake; ambao wapo ulimwenguni kote kwa sasa, wakifundisha vizuri na kwa upendo usiotia shaka) na sio kutegemea akili zako.
Kitabu kilichokaliwa na kikundi cha watu kukiandaa wewe useme Simple!!?Mungu hapendi usaliti na uharibifu hasa kazi zake na kumuhusu yeye.
Vijana achane ujuaji. Biblia ni kitabu rahisi sana ukibahatika kufundishwa na yeye Mungu (kupitia watu wake; ambao wapo ulimwenguni kote kwa sasa, wakifundisha vizuri na kwa upendo usiotia shaka) na sio kutegemea akili zako.
Yeye hawez kufundisha ils ni kupitia watu wake (mawinga, madalali wenye njaa na wanaiumwa afya ya akili kwa msongo wa kodi za tra)???Mungu hapendi usaliti na uharibifu hasa kazi zake na kumuhusu yeye.
Vijana achane ujuaji. Biblia ni kitabu rahisi sana ukibahatika kufundishwa na yeye Mungu (kupitia watu wake; ambao wapo ulimwenguni kote kwa sasa, wakifundisha vizuri na kwa upendo usiotia shaka) na sio kutegemea akili zako.
Wanafundisha bure. Tena bure kabisa. Hawatozi hata senti tano. Maana Mungu kupitia Biblia alishasema; mlipewa bure nanyi toeni bure.Yeye hawez kufundisha ils ni kupitia watu wake (mawinga, madalali wenye njaa na wanaiumwa afya ya akili kwa msongo wa kodi za tra)???
Mungu ni roho kamiliHyo mungu au kiumbe chenye kupenda na kuchukia, kulipa kisasi na kujuta. How mungu asijue adam kajificha wapi na asijue kama kala tunda mpk aulize ku confirm.
This mungu is limited to talk only to watu not mbuzi na mwembe. Huyu mungu au authority fegure fashioned by tales
Dah mburura mmoja, so vile vibahasha huwa ni vya nini?Wanafundisha bure. Tena bure kabisa. Hawatozi hata senti tano. Maana Mungu kupitia Biblia alishasema; mlipewa bure nanyi toeni bure.
Kuchaguliwa kupoje mkuuMungu amenyoka, na hapendikuona watu wake aliowachagua wakipotea kwa kukosa maarifa. kama amekuchagua atakunyoosha mpaka useme yeiyooo
Indeed mkuu!Mungu amenyoka, na hapendikuona watu wake aliowachagua wakipotea kwa kukosa maarifa. kama amekuchagua atakunyoosha mpaka useme yeiyooo
Bro shtuka. Ujinga wako ndio fursa kwao. Kumtolea Mungu shukrani au Sadaka ni hiyari na sio lazima. Ila ukisikia mambo ya kujimaliza sijui kujiteketeza oya kimbia sana hapo sio salama.Dah mburura mmoja, so vile vibahasha huwa ni vya nini?
kama imetokea tuu una roho nzuri, mtu unayependa watu hutaki magomvi.Kuchaguliwa kupoje mkuu