Mwambie awe anasema mwende mkalaleHabarini wapendm kulala “. Mnaonaje wazoefu, wake kwa waume!?
Au huwa ana tatizo, lengo au maana gani ya ziada kwa kusema hivyo!?
Nawasilisha.
Asubuhi na Jumapili njema
Asante mkuuSisi wanawake kuna vitu tunatakiwa kufanya tukiingia ndoani hicho ni kimojawapo.
Naenda kulala mume wangu.
(anakuaga ili kama unamhitaji muda ndio, jiongeze)
Mume wangu ninaamka (kama unamuhitaji maliza kabisa ndio aamke)
mwingine anausingizi wa karibu, mwingine akiamka hutampata tena hadi jioni kutokana na majukumu.
Kila la kheri kwenye ndoa yako