Tabia ya madereva wa magari ya abiria kutumia simu wakati wakiendesha inahatarisha maisha ya abiria

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
6,565
8,427
Mara kadhaa nimekuwa nikishuhudia hii tabia lakini ya leo imekuwa ni mbaya zaidi

Dereva wa Noah anaongea na simu na kutuma sms, kupokea sms njia nzima? Mala gari inayumba yeye hajali yumo na simu, mala Katoa ka simu kadogo, mala smart phone, muda wore yuko busy huku aki drive gari na ametubeba kama abiria tumemlipa pesa.

Mbaya zaidi ni mtu mzima like 50yrs na angalau basi angekua kijana tungesema ni ujana.

Khaaa!
 
Pole mkuu ILA mabadiliko yanaanza na wewe,je ulichukua hatua gani?ulimwambia dereva aache kuhatarisha usalama wako?,je kwenye check point ulitoa taarifa kwa cops?,au ndio yale yale ya watanzania kusubiria wengine wajitoe mhanga kwa ajili yao?change starts WITH YOU.
 
Nimesema kwake mala 3 nikaamua kuacha
 
Nimesema kwake mala 3 nikaamua kuacha
Kuna abiria waliokuunga mkono au ni full uoga maana hili nalo ni tatizo kwa watu wengi.
Hiwezekani mtu ahatarishe uhai wako tena kwa kukiuka wazi taratibu za usalama barabarani halafu ukabaki unamwangalia na kuchukulia poa hata kama ingekuwa umepanda bure.
 
Tupo kwenye mchakato wa kuzifuta Noah zote za karatu-arsha maana zinasababisha barabara kuwa busy sana kama panya wanaosumbua ndani ya nyumba
Badala yake tutazipa kibali cha kusafirisha abiria gari kubwa tu zinazopakia abiria kwanzia 28 level seat na wamiliki wa Noah watoe gari zao katika shughuli za usafirishaji abiria na wakazitumie gari zao kwaajili ya familia
 
Mala kadhaa nimekua nikishuhudia hii tabia lakini ya leo imekua ni mbaya zaidi

Dereva wa NOA anaongea na simu na kutuma sms, kupokea sms njia nzima? Mala gari inayumba yeye hajali yumo na simu, mala Katoa ka simu kadogo, mala smart phone, muda wore yuko busy huku aki drive gari na ametubeba kama abiria tumemlipa pesa.

Mbaya zaidi ni mtu mzima like 50yrs na angalau basi angekua kijana tungesema ni ujana.

Khaaa!

karibu boss nipo hapa TFA
 
Mara kadhaa nimekuwa nikishuhudia hii tabia lakini ya leo imekuwa ni mbaya zaidi

Dereva wa Noah anaongea na simu na kutuma sms, kupokea sms njia nzima? Mala gari inayumba yeye hajali yumo na simu, mala Katoa ka simu kadogo, mala smart phone, muda wore yuko busy huku aki drive gari na ametubeba kama abiria tumemlipa pesa.

Mbaya zaidi ni mtu mzima like 50yrs na angalau basi angekua kijana tungesema ni ujana.

Khaaa!
Ulichukua hatua gani?
 
Na ajabu zaidi sana, ni kwamba, hamkumsema huyo dereva, bali mmekaa kimya, na kumuacha acheze na roho zenu na au mlimuambia, ila baadhi yenu wakakushangaa na au wakakaa kimya.

Mara kadhaa nimeshuhudia uvunjifu wa sheria za usalama ila kuna abiria wanawatetea madereva pindi niwaonyapo kwa ukiukwaji huo.

Kuna Watanzania wanafiki na wajinga sana. Yaani hata mtu hajui kihatarishi cha usalama. Wapo wapo tuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom