Tabia ya kushangaa!!

HARRISON ONE

Member
Jan 8, 2014
42
30
watanzania wengi tumekuwa na tabia ya kushangaa mambo mbalimbali ambayo kwa namna moja au jingine yaweza kuwa ni ajali,ugomvi,ujambazi wakiteka au kuvamia benki na hata wakati mwingine burudani mbalimbali,tabia hii wakati mwingine yaweza kuleta maafa ikiwa kitu au jambo husika ni cha hatari,kama wiki mbili zilizopita kuna kitu ambacho kilihisiwa kuwa ni bomu la kutupa kwa mkono lililokuwa limejichimbia ardhini maeneo ya shekilango,watu walijaa na kutaka kusogelea eneo hilo kwa ukaribu kabisa!!!!bila kujali hatari iwapo bomu hilo lingekuwa la kweli na kulipuka!

je tabia hii ya kushangaa ni busara?tupia kitu gani au tukio ambalo hukuona si busara watu kushangaa au kuwa karibu na tukio hilo
 
Back
Top Bottom