tabia ya kuoana ndugu

libwaka

Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
53
Reaction score
11
nasikia eti kuwa wa2 wanaokaa sehem ya kuvuka bahari kwamba wanatabia ya kuona binam na binam, swali, ni kweli kwamba hii tabia ipo?
 
Mimi najua watu wa Afrika Kaskazini kama Morocco na Mashariki ya Kati kama Iran huwa wanaoana mabinamu kwa binamu.
 
Waarab, wasomali, wahabeshi, wahindi na jamii nyingi za kiislamu huoana mabinamu. Nadhani (sina hakika) katika mafundisho ya kiislamu kuoana kati ya binamu ni ruksa. Lakini kimantiki kuna-ubaya gani kufanya hivyo? Sidhani kama kuna 'genetical problem' hapo kwakuwa sio 'sibling' pengine ni mila na desturi tu ndizo hukataza.
 
Hata tanzania kuna makabila wanaoana mabinamu. Tabia ipo lakini ina madhara katika mfumo mzima wa kijenetiki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…