Ni hulka ya Wanaume duniani kote na ilianza karne nyingi zilizopita na sasa hivi ndio inazidi kuongezeka, lakini miaka ya karibuni wanawake nao wanakuja kwa kasi sana kwa kukodolea macho wanaume na jicho hilo halipotei utalijua tu na kujisemea moyoni mwanamke yule ana lake jambo moyoni mbona kanikodolea kiasi kile? Ukimuuliza vipi dada tunafahamiana? Hapana kaka sidhani kama tunafahamiana ila umependeza tu ndio maana nikakuangalia sana. Ukiamua kuchakarika kivyako vyako basi mnaweza mkawa wapenzi.
Nyani Dume: Ujue nakupenda sana shori, hebu cheki unavyonitesa mwenzio.
Nyani jike: Akha, umuumize nani babu we; kwanza mimi naogopa sijawahi fanya.
Nyani dume: Hebu acha masihara mwenzio nimezima kwako, hebu sikiliza; yaani kimoja tu sipigi zaidi
ya hapo.
Nyani jike: Nimekwambia sitaki bwana, kwanza naogopa nitachapwa na mamaa.
Nyani dume: Pale alipomshika mkono-Twende basi tukanywe hata soda
We unafikiri ni wanadamu tu wanajua kupiga sound, hata wanyama, tena hawa ni nooummaa sema tu hawaongei lakini ni balaa, wanapiga mashine mbaya. We mpaka mpini umesimama namna hiyo lakini katolewa nje ila akiongeza juhudi kidogo anapiga mashine. Chezeya mapenzi weye?