Nahisi ni first date sasa Papito si mzoefu.
Aibu! Hapana, hata kidogo.papito kama ww si mzoefu, usiogope mm mzoefu. ila hatimae tumefika muafaka na nakubaliana
na ww hio itakuwa 1st date. ya kwetu iwe lini papie? unapenda nije na aibu kidogo au zisiwepo?
Sijui kama nitakuwahi, umemwaga mtama kwenye kuku wengi nitaambulia nini tena?Ewaaaaa! hio mm ndio napenda, nakuja na maufungi yangu yote.
usiteseke kabisa wala sitakutesa. mm sina roho mbaya wala sio mchoyo Ero mm.
ngoja nikajiandae just for you. wakati unanisubiri naomba angalia hii picha upate
picha jinsi movie litavokuwa la ukweee. hii picha nilipiga wakati nalamba pipi.
she is just being a lady, asking herself is she doing the rite thing, akijua wazi kuwa akiangalia
sehemu husika she will not think straight. bora tu aangalia mkono wa jamaa wakati
anatowa maamuzi ambayo sisi watazamaji we know better.
hadi kafika hapo there is no turning back. teh teh teh.
Sijui kama nitakuwahi, umemwaga mtama kwenye kuku wengi nitaambulia nini tena?
Ukichelewa sana nitakuwa sina imani na wewe tana!.
Kumbe hiyo ndio trick! I did not know...basi watakoma
Acha ujinga wewe mtovu wa maadili.
Mkuu ID yako imenikumbusha mbali, sijamwona siku nyngi huyu KASHOROBANA. Sijui kama bado yumo ziwa Victoria.Acha ujinga wewe mtovu wa maadili.
kirusha roho ww hata ukitaka kuwakomesha watu huna ubavu huo. hadi ujifikirie weeeee,
wapi na wapi? ww baki hivo hivo na upole na tabia ya kukataa wanawake wanaokutongoza.
Kwahiyo unataka niwe baba huruma Erotica? Kila anayekuja mi najidondokea tu! Unataka waniibe weye...wengine wezi sio wa kukaa nao karibu. What if?
hapana my kirusha roho ww baki hivo hivo so that we don't go kwenye war ifs.
achana kabisa na wezi wanakusababisha utake kuibiwa bila kupenda, teh teh teh.
Mambo mengine kufanyika ni lazima jamani kama hii iliyomtoke J Bieber lazima uangalie tu.
lakini wewe sio miongoni mwao..teh teh teh...nimethibitisha hilo. You are a good chap....