my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Nina tabia ya kupenda kujishika sehemu za siri nikilala au hata kama sijalala nikiwa peke yangu. Mpaka sasa hata nikiwa kwa group ya watu hali ya kutaka kujishika inanijia lakini na control.
Zamani nilikuwa na tabia ya kuchezea kitovu sasa hii tabia imepotea imekuja ya kushika sehemu za siri.
Nifanye nini ili niache hii tabia nisije nikapata aibu?
Zamani nilikuwa na tabia ya kuchezea kitovu sasa hii tabia imepotea imekuja ya kushika sehemu za siri.
Nifanye nini ili niache hii tabia nisije nikapata aibu?