Tabia ya kujidai kati ya wenzi..

majany

JF-Expert Member
Sep 30, 2008
1,223
579
Hivi ni kwa nini watu hupenda sana kujisifia..Wakati naanza mahusiano nilijua labda ni kwa baadhi ya wadada...hata nilipopata mchumba,ambaye kwa sasa ni mke wangu,hii tabia naiona..utasikia yaani sisi ukoo wetu bila kuwa na gari zuri la thamani unaonekana maskini(kipindi hicho hata gari sina),au unajua kaka yangu kanunua x-trail last week.......anaye'ongea hv hata bajaj hana......hivi ni kwa nini....kiukweli siipendi mpaka basi....
 
Watu wa namna hiyo huwa hawajui kutafuta, lakini kwa kutumia balaa..., anaweza maliza mil 10 siku. kutafuta misifa tu.
 
Wewewewwewe, ishia hapo hapo.

Huyo msukuma alitoka kwao peupe kuliko upara wa kichwa? Maana hata upara huwa una vinyoya.

ngoja niichunie,bt niliwah kuwa na msukuma mmoja,kila kukicha ni kumsifia kaka yake.....ooh ana hili,jana kanunua hiki...
 
mi mwenyewe msukuma......lakini nilimshangaaje.....
 
Wewewewwewe, ishia hapo hapo.

Huyo msukuma alitoka kwao peupe kuliko upara wa kichwa? Maana hata upara huwa una vinyoya.

Labda anazungumzia msukuma wa Bukoba lakini si taifa kubwa........mpige na mbigho
 
Kumbeeeeeeeeeeeeeee ndio walivyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
mmejuaje??baba yake ni msukuma na mama yake ni mganda....
 
Back
Top Bottom