Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
ha ha ha haNadhani umejichanga umenunua ki ist sasa ndo umekuja mbio mbio kufungua thread hapa
Kwa taarifa yako Mimi na waegemeaji wenzangu tutaendelea kuegemea magari yenu maana mnatuchafulia hewa yetu.
[HASHTAG]#teamkuegemea[/HASHTAG] magari#[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu kuna mafuta fulani kwenye maduka ya dawa za asili yapo kama upupu, dawa yao nenda katafute pakaa kwenye sehemu wanazopenda kuegemea halafu utarudi hapa kutoa shukraniHii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyohovyo tu Ipo sana hasahasa jijini dar Ee salaam , umepaki gari lako, salama bin salmin ,kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui ata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
Jamaa anadharau sana, anachukia kwa sababu ni maskini ndo wanaegemea gari yake, siku akimkuta Bakhresa au Mo Dewji ameegemea gari yake tena akapasua taa kama anavyohofu huenda akachekelea na kuona ni bahati nzuri kwake.sure, hata akiigonga na kiungo cha mwili si rahisi kuvunjika
kipya kinyemi...teh hee hee.,ukirudi home ingia nalo chumbani!
.utazoea lakini
Wamenikwangulia rangi sana sana na sarawili za jeans, zipu wakigeuka zinakwangua rangi. Ni tabia mbaya sana kusema ukweli japo watu wanaona mwenye gari anajidai. Niliwahi kukuta wamelia hapo chips na soda gari wameigeuza meza.....Hahaha dah unakuta jamaa na kisoda ana kwangua rangi. Noma sana.
Mtoa mada umenikumbusha parking yangu niliyoizoea ipo karibu na geti la mlinz apa kibaruani akikaa kutia stor na wagen wake gari inakua sehem ya kiti ss ivi linadimpoz za kutosha na michiriz ya vifungo vya jeans sema hamna namna inabid kuzoea, ingawa hawa wanaokuponda ndio wale watakwambia bodi haijakaa vizur siku ukitaka kuliuzaHii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyohovyo tu Ipo sana hasahasa jijini dar Ee salaam , umepaki gari lako, salama bin salmin ,kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui ata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
Ukikuta Ubungo stendi ya mkoa wameegemea, ujuwe kuna mmoja wanamziba ili ang'oe taa au kitu kingine...Hii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyohovyo tu Ipo sana hasahasa jijini dar Ee salaam , umepaki gari lako, salama bin salmin ,kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui ata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
hawezi kuvunja taa zako , gari LA magufuli lenyewe linaegemewa, sembuse pakoHii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyohovyo tu Ipo sana hasahasa jijini dar Ee salaam , umepaki gari lako, salama bin salmin ,kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui ata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
Chukua like mkuuHongera mkuu kwa kumiliki gari