Hii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyo hovyo tu ipo sana hasa hasa jijini Dar ee Salaam.
Umepaki gari lako, salama bin salmin kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui hata bei ya taa wala rangi.
Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.

.ts not a big deal bana....km ukitaka kutoka lzm ataondoka...dnt get mad kwa vitu vidogo