Tabia ya kuchungulia simu ya mwenza.

Aisee me nimejaribu kuacha hako katabia lakini nimefail kabisa.
Huwa nawashwa tu baba naniliu akitoka akaacha simu kuna kasauti kananiambia hebu shika simu uangalie sms [emoji23][emoji23]
Hahaah, kweli kabisa sauti sijui inatokeaga wapi, ila haipaswi kupuuzwa[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…