Tabia, sifa kumi za wana UKAWA

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,463
1. Wana hela
2. Wana uchungu na maisha
3. Wachakarikaji mno
4. Wanajua haki zao
5. Hawaisomi namba kama CCM wanavyoisoma kimya kimya
6. Hawanywi chai bila sukari kwasababu za no. 1, na 3.
7. Wana raha hawana makunyanzi usoni

Weka zako zifike 1000
 
Ulisema sifa kumi lakini umweka saba. Baadaye unataka wengiwe waweke zifike 1000!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom