MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 240
- 547
Hamnagaa dem anaandika ' Mkuu'Shoga nani?
Inakuaje hisia zako ziwe zangu mkuu
Umeishi kwa kurari wala sikulazimishi uje jinsia yanguHamnagaa dem anaandika ' Mkuu'
Na wewe unaonekana huna soko.Jamani naenda moja kwa moja .
Tania zinazonikera kwa wanaume kiukweli kama mtabadikika basi Dunia itakuwa mahali safi na nitawapenda sana baba zangu nyie na wapenzi niwapendao.
1.Muache uchafu jamani wanaume mjitahidi kufua hata boksi why boksa moja iyo iyo like seriously
2.Mjitahidi kuoga .
3.Muwe samart.mvae vizuri mpendeze.hapa soksi.
4.Smart kwenye kuongea
Kabisa kabisa umeongea vyema mpenziUnapomlea mtoto mfundishe kuwa uchafu ni adui wa afya na ni kero kwa wanaokuzunguuka hasa mwendani wako.
Hicho ndio cha muhimuMalezi na makuzi Ndiyo tatizo linakoanzia.
Halafu ukute wale wamezaliwa na kukulia mashambani huko mmnh usipime!
Hata awe msomi! Ni ajabu kweli .
Wewe unaloNa wewe unaonekana huna soko.
Yaani wanaokutongoza ni mafundi Vyuma, Mafundi Gereji na Machinga.
Sasa usitake kutuchafua sisi watanashati
Hapa ume sound kiume kabisa... Hapa kuna real manhood hapa umeharibu mwamba. Next tym lainisha vimaneno hapo vidume tunakuja haraka pm kuomba mbususuShoga nani?
Inakuaje hisia zako ziwe zangu mkuu
NonsenseJamani naenda moja kwa moja .
Tania zinazonikera kwa wanaume kiukweli kama mtabadikika basi Dunia itakuwa mahali safi na nitawapenda sana baba zangu nyie na wapenzi niwapendao.
1.Muache uchafu jamani wanaume mjitahidi kufua hata boksi why boksa moja iyo iyo like seriously
2.Mjitahidi kuoga .
3.Muwe samart.mvae vizuri mpendeze.hapa soksi.
4.Smart kwenye kuongea
Kwani mbona unatuandamaJamani naenda moja kwa moja .
Tania zinazonikera kwa wanaume kiukweli kama mtabadikika basi Dunia itakuwa mahali safi na nitawapenda sana baba zangu nyie na wapenzi niwapendao.
1.Muache uchafu jamani wanaume mjitahidi kufua hata boksi why boksa moja iyo iyo like seriously
2.Mjitahidi kuoga .
3.Muwe samart.mvae vizuri mpendeze.hapa soksi.
4.Smart kwenye kuongea
Mwanaume hasifiwi kuogaWengine hata kuoga ni kwa mbinde !
Na akioga ni Kama adhabu hafurahii wala nini.
Dakika 2-3 katoka bafuni [emoji14][emoji14]
Sasa sijui anakuwa ametoka kuoga au kujimwagia maji?! [emoji848][emoji848]
Mimi sipendi mwanamke asiyejua kuandikaJamani naenda moja kwa moja .
Tania zinazonikera kwa wanaume kiukweli kama mtabadikika basi Dunia itakuwa mahali safi na nitawapenda sana baba zangu nyie na wapenzi niwapendao.
1.Muache uchafu jamani wanaume mjitahidi kufua hata boksi why boksa moja iyo iyo like seriously
2.Mjitahidi kuoga .
3.Muwe samart.mvae vizuri mpendeze.hapa soksi.
4.Smart kwenye kuongea
Mzuri alafu una mwandiko mbaya hivi🚮🚮Umeishi kwa kurari wala sikulazimishi uje jinsia yangu