Tabia ndogo + Muda = Mabadiliko makubwa

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
466
Reaction score
1,209
Tabia zako zinakufanya wewe, Ukweli usio na huruma πŸ˜”

"MAISHA YAKO LEO NI MATOKEO YA TABIA ZAKO ZILIZORUDIWA MARA NYINGI"


Kuna mtu aliamua kuweka akiba TSh 2000 ikajirudia mara 1000 mwisho akawa na Milioni 2 😊

Mwingine akamua kuwekeza majungu kila siku ikajirudia mara 1000 sasa ni tajiri wa UMBEA πŸ˜”.

# Mwanasayansi Saul kalivubha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…