Tabia Nane za watu wapole


Upweke umasahau,
 

Ni kweli,
 
Mi niko hivo hivo ila sina ntoto nje ya ndoa.
 
Tunaenda sambamba sasa...mkimya anakusnitch bila wewe kujua ndo napowachukia sasa!

Mpole anachukia ila anajifanya yuko okay

Ila mcheshi/ muongeaji ukimuudhi analipuka hapo hapo na life goes on, so far hawezi kukuficha kitu yaani ni hawakaagi na kitu rohoni ni wanakerekaga fulani hivi which is good!

Umeona huo utofauti wako wa watu watatu sasa? So mimi nimeamua kuachagua fungu la tatu, coz ninawafahamu mnoo
 
Walikufanya nini.

nakumbuka mmoja wa ma ex wangu anaitwa Witness, sijui ndio wewe.
Wanapenda kuweka vitu rohoni na kulipa visasi, that's y siwapendi mkuu!

Witness?
mkuu hii ni ID fekero namuwakilisha Witness bonge ( yule mwanamuziki)
 
Umesahau pia upande mwingine.
Ni watu wa ajabu sijawahi kuona, ni watu wenye maamuzi magumu sijawahi kuona.
Ni watu wasioshaurika em elezea upande wao wa pili
Tru mkuu..

Yaani mi nimezungukwa na hawa watu wakimya/ wapole hadi naogopa

Ni watu ambao wakiamua lao ndo hivyo hivyo hata kama ni loss kwao

Ukiwa nao kimahusiano sasa yaan utakoma!
 
umesahau tabia nyingine wanajiuaga kwa sumu au kujipiga risasi bila sababu za msingi na kuwafanya watu wabaki midomo wazi .
 
Wanapenda kuweka vitu rohoni na kulipa visasi, that's y siwapendi mkuu!

Witness?
mkuu hii ni ID fekero namuwakilisha Witness bonge ( yule mwanamuziki)
aisee imebidi tu nicheke....watu ambao hawajanizoea wanasema mimi ni mpole, ila nikishazoeana nao wanasema mimi sio mpole ila mkimya...

Nabaki najiuliza tofauti ni ipi, anyway nimekusoma toka mwanzo kuna sehemu pana ukweli.

najitahidi nisikwazane na mtu maana nikimchukia sijui kumsamehe na huwa natamani nifanye revenge maumivu niliyopata na yeye ayapate.

Ila ni tabia mbaya najitahidi sana kuiacha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…