heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 8,025 Reaction score 13,334 Oct 20, 2024 #301 Mnanisema sasa jamani, mi mpole mpak nimepitiliza asee ila kiukweli sijawah gombana na mtu miaka mingi sana but nikikerwa nakuwa na hasira nikiongea nahis kama siongei mimi maana naona kama maneno yanapandiana so nakuwa mpole tu
Mnanisema sasa jamani, mi mpole mpak nimepitiliza asee ila kiukweli sijawah gombana na mtu miaka mingi sana but nikikerwa nakuwa na hasira nikiongea nahis kama siongei mimi maana naona kama maneno yanapandiana so nakuwa mpole tu