Tabia na uzuri wa sura.

Tabia na uzuri wa sura.

MPENDE AKUPENDAE, ASIYEKUPENDA ACHANA NAE
By, Mr Nice, kikulacho

Thank me Later
 
No sio first yangu kaka...

Hivyi ishawahi kukutokeaa yaani unakuwa wanawake wengi wanjitokeza kutoka kwako unawasumbua unavyotaka wewe ila Sasa ikitokeaa ukaja kupendaa yule unampenda kweli inakuwaa inaumaa tu... unasemaa bora Hata yule anayekupenda angekuwaa ndo yeye unayempndaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama uliwasumbua waliokupenda na kuwakataa.. bhasi wanasemaga KARMA IS A B..TCH...KARMA NEVER FORGET!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom