Tabia na uzuri wa sura.

deibra

Member
Jan 10, 2019
74
35
Ndugu zangu nimewasogezeaa hii naombeni ushauri wenu....

Niko kwenye mahusiano na wapenzi wawili
Mmoja nampenda sana mpka nalijuwa hili kwamba nampenda sijui kwasababu ni mzuri sana...ila nahisi kashajuwaa pia kwamba nampenda ndo mana ananisumbuaa kichwa changu...

Na huyu mwengine yaan ananipenda yuko na true love na nalijuwa hilo kwamba ananipa incase if I have any problem anawezaa kufix up..kama anahuwezo hio wa kufanya ....

Anyway sijui nifanyee ili nimpende huyu anayenipenda na nipunguzee mapenzi kwa yule anayenipa headache all the times

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom