Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,488
- 908
Kuna watu wana tabia mbaya.. wakipita karibu maduka hasahasa yanayouza nguo na viambatanishi vyake, wakaona mdori uliovishwa nguo, basi kama ni mdada hujipitisha na kumvua titi moja libaki nje, au kama amevaa sketi basi watafanya hira hadi waipandishe juu.. Tuacheni tabia hiyo, inawaingiza watoto kujikita kwenye kufanya chunguzi na tathimini zisizo za lazima..
NAWAKILISHA
NAWAKILISHA