Tabia MBAYA!

Tabia MBAYA!

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,487
Reaction score
913
Kuna watu wana tabia mbaya.. wakipita karibu maduka hasahasa yanayouza nguo na viambatanishi vyake, wakaona mdori uliovishwa nguo, basi kama ni mdada hujipitisha na kumvua titi moja libaki nje, au kama amevaa sketi basi watafanya hira hadi waipandishe juu.. Tuacheni tabia hiyo, inawaingiza watoto kujikita kwenye kufanya chunguzi na tathimini zisizo za lazima..

si vema.jpg

NAWAKILISHA
 
Wenye maduka wawe wanakagua mara kwa mara midoli yao.. tabia hii iko sana maeneo ya kinondoni manyanya kule, sinzasinza huku, na maeneo mengine..
 
uiona mtu anafanya hivyo ujue ana mtihani mkubwa saaaaaaaaaaana katika kichwa chake yaani hayuko sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom