Tabia mbaya uchagani

Tabia mbaya uchagani

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,780
Heshima kwenu wandugu,

Thadhari: Sina chuki binafsi

Kwa kuanzia tu mkoa wote wa kilimanjaro ni mkoa ambao kweli maendelea yapo, wilaya zote zimeunganishwa na miundombinu yote muhimu, maji umeme, barabara n.k

Tabia yao mbaya ni tabia ya kuomba lift hasa kwenye private cars, yaani si kwamba kuna shida ya usafir la hasha ila kautafiti kadogo nilichokifanya ni kwamba wana save budget, yaani ni aibu sana. utakuta wazee, vijana na watoto wanakaa barabara kazi kusimamisha private cars wakikuta gari ya abiria wauchuna(baadhi) ili tu apate lift ya bure,
sasa najiuliza:-
-inakuaje mtu humjui na gari tinted sometimes lakini umeng'ang'ana kuomba lift ukitekwa je?
-Moshi na maeneo yake ya daladala nying kuliko hata idadi ya watu imekuaje mnaombaomba lift wajameni?

Acheni tabia mbaya tu.
 
Kweli wachaga mmetuamulia 😩😩😩😩😩
 
nawe ulitaka tujue unagari, sasa hapo kibaya nini
 
Kutoka tabora kwenda nzega hapo kati watu wanasimamisha gari lolote bila kujali ni la abiria au private
 
Tabia mbaya zaidi ya wachaga haswa wa vijijini ni kupenda kuomba "kulamba viatu vya wageni".
 
hahahaha na hata ukisimamisha gari na kumpa nauli ya daladala hatopanda kamwe.
 
Wanasave hela wafanyie maendeleo,wewe Kwanza sio mchumi unafurumusha ligari lako la kubeba watu 6 uko pekeyako wenzio hawako hivyo
Duh
La uso walahi
 
Back
Top Bottom