ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,572
Achana nao haoKweli wachaga mmetuamulia 😩😩😩😩😩
Uwivu umewapanda mpaka kisogoni
Achana nao haoKweli wachaga mmetuamulia 😩😩😩😩😩
Achana nao hao
Uwivu umewapanda mpaka kisogoni
Nyoosha maelezo! Eti wanalamba vyatu vya wageni, hueleweki hata, acha promo!Wewe ni mwehu hakika
Ha ha aa Nikadhani umekosea ni Nyarandu...kumbe huyu anatoka kwingine.127.Marandu
Mkuu, sasa unanichanganya, Na As'senga' yule wa kwenye video naye anatoka huku...!!!?231. Assenga
Acha fixations za kijima, vyatu vilambwe vimekaza cone!Tabia mbaya zaidi ya wachaga haswa wa vijijini ni kupenda kuomba "kulamba viatu vya wageni".
127😂😂😂😂😂 231😁😁😂😂😂😂😂Ha ha aa Nikadhani umekosea ni Nyarandu...kumbe huyu anatoka kwingine.
Mkuu, sasa unanichanganya, Na As'senga' yule wa kwenye video naye anatoka huku...!!!?
Heshima kwenu wandugu,
Thadhari: Sina chuki binafsi
Kwa kuanzia tu mkoa wote wa kilimanjaro ni mkoa ambao kweli maendelea yapo, wilaya zote zimeunganishwa na miundombinu yote muhimu, maji umeme, barabara n.k
Tabia yao mbaya ni tabia ya kuomba lift hasa kwenye private cars, yaani si kwamba kuna shida ya usafir la hasha ila kautafiti kadogo nilichokifanya ni kwamba wana save budget, yaani ni aibu sana. utakuta wazee, vijana na watoto wanakaa barabara kazi kusimamisha private cars wakikuta gari ya abiria wauchuna(baadhi) ili tu apate lift ya bure,
sasa najiuliza:-
-inakuaje mtu humjui na gari tinted sometimes lakini umeng'ang'ana kuomba lift ukitekwa je?
-Moshi na maeneo yake ya daladala nying kuliko hata idadi ya watu imekuaje mnaombaomba lift wajameni?
Acheni tabia mbaya tu.
Siyo ubahili ni ubangiliWaambie waache ubahili....
Nimepitia yote, Mkuu. Hivi Mahoo hatoki Maeneo ya huko kweli.127😂😂😂😂😂 231😁😁😂😂😂😂😂
Umetisha umepitia list nzima
Kama jina lako halipo apo ni pm mkuu!
😂😂😂😂 ngoja nimuulize Babu yangu mkuu Mida hii Mbege isha mzingua ananiambia iyooo Tarime!!Nimepitia yote, Mkuu. Hivi Mahoo hatoki Maeneo ya huko kweli.
Hii tabia ya kuomba omba wamemuambukiza na yule Mchungaji Msigwa wa Unyaluni!Heshima kwenu wandugu,