Tabia mbaya hii wanaume

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,628
kuna watu wa ajabu sana. Kazi yao kukaa karibu na wale wanaouza vocha za tigo rusha wananyatia msichana akija akitaja namba wanakariri faster then wanasave later unashangaa namba mpya inakutext au a call. Kama kweli unajiamini kwanini usiombe moja kwa moja kwa mhusika? Utakariri namba ngapi sasa?
 
yaani hawaeleweki sasa cjui ni domo zege akipiga utasikia me niyule kaka ninaye rusha vocha ulikuja mda fulan kununua vocher kwangu, ukimuuliza unataka nini anaanza kujingata ngata 2 kuweni na ujasiri mnapo fanya mambo yenu
 
mpaka hapo yaoyesha jamaa hana kazi ndo mana anakaa kwa wauza vocha akipiga soga na kusubiria namba za mademu, sasa mtu kama huyo anaweza kukurushia hata tigopesa kweli?? block him as soon as possible.....usipoteze muda na loser!!!
 
Hivi wapo watu wa hivi?
Probably, the end justifies the means...
 

Ya kweli haya....?
 
Kutongoza bhana hakuna njia moja, kama wewe umeona kimeo kuna wengine wanapatikana tu kwa staili hiyo hiyo. Hivi nyie mnafikiri kutongoza ni rahisi eeeh? ha ha watu huwa wanakaa mwezi mzima anapanga ataanzaje kumtokea dem
 
kwani ukipokea simu ndio ushakubali?? mpe mtu makavu next time anajiuliza mara mbili...wanaume wa namna hiyo ni kama mbwa anayebweka ndani ya fensi akipewa makavu anaufyata mkia haraka mno.
Damn! I like em old school ways of tongozaring...mtoto anapewa maneno matamu mpaka anaamisha kichaka cha mti toka upande mmoja kwenda upande mwingine...
 
hata tanga wapo
 
watu8; Haya yote Smile; aliyasema,,hakika yapo[bila ya kukosea na hawa wanaume mithili hiyo siyo nia yao bali unakuta ni hawa watoto wa mama sana sana unawakuta wamefunga suruali mfano wa kutaka kudondoka na hawa ni janga kwa Tafa letu,,,,,,,,haya yote yanasababishwa na chama tawala kwa kushindwa kutoa ajira kwa vijana............na chama cha majambazi a.k.a ccm mpaka kiama.


Aliyekupigia anasema yupo Tanga?? mambo ya Nyinda hayo
 
Last edited by a moderator:

Huwezi kujua Smile inawezekana alishafukuzia muda mrefu na bila mafanikio na akaamua kutumia technique hiyo ya kufanya timing anaponunua tigo pesa ili kupata namba ya mhusika ili abadili mbinu za kufukuzia, ni ubunifu sema tu una kera kwenye mahusiano ...
Hususan kama ni mchezo wao kwa kila mwanamke!
 
Ni style mojawapo ya kumtokea mwanamke, usikasirike sana, utapunguza siku zako za kuishi bure!?
 
Da watu wana mda sana yani kukaa kwenye vibanda vya tiGO rusha 24HR.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…