Tabia mbalimbali za watu warefu

Nilidhani nahusika kumbe unatafuta watu wa above 6ft. Mimi nipo 6ft tu hivyo nadhani hii mada hainihusu.
 

kusema kweli nikiri sijawahi kukunwa kama navyokuna na huyu short man wangu....hapa ni mwisho w reli kigomaa!
 
Labda tufahamu vile vile kwanini kwa muda mrefu suala la kimo(urefu)ni kigezo cha urais nchini marekani....wagombea wazuri kama michael dukakis walishindwa kuchaguliwa kwa sababu ya kimo chao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…