Tabia kuu saba za watu waliofanikiwa kimaisha

Tabia kuu saba za watu waliofanikiwa kimaisha

Julius Husseni

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
1,435
Reaction score
1,195
1.hueka akiba kila mwezi

2. Huamka mapema asubui

3.Husoma vitabu kila siku

4.kuandika malengo yake kila siku

5.Hufanya mazoezi kila siku

6. Kua pamoja na watu wenye uwezo

7. Kutengeneza mpango wa maendeleo ya muda mrefu
 
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Hizo ni nadharia tu, ukweli ni kwamba mafanikio ni lucky.
 
1.hueka akiba kila mwezi

2. Huamka mapema asubui

3.Husoma vitabu kila siku

4.kuandika malengo yake kila siku

5.Hufanya mazoezi kila siku

6. Kua pamoja na watu wenye uwezo

7. Kutengeneza mpango wa maendeleo ya muda mrefu

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Kuna mama ntilie huku kwetu kila siki asubuhi anawahi kuamka kufuata mahitaji ya kupika, anaweka akiba kila mwezi na mipango mingine lakini miaka nenda rudi yuko palepale 😀
 
1.hueka akiba kila mwezi

2. Huamka mapema asubui

3.Husoma vitabu kila siku

4.kuandika malengo yake kila siku

5.Hufanya mazoezi kila siku

6. Kua pamoja na watu wenye uwezo

7. Kutengeneza mpango wa maendeleo ya muda mrefu

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Ila watumiaji wa Tecno sijui mna nini?
 
Uwongo tena uwongo sana tena usirudie kudanganya watu kijinga ivyo na kwa jinsi unavyoonekana ww ni mtt mdg unaejifanya kujua maisha

Kusoma vitabu wakat watajiri weng wa kitanzania hawajui kusoma wala kuandika

Yan iyo point tu imenifanya nione unachoongea ni pumba tena pumba sana
 
Back
Top Bottom