Tabia kuu saba za watu waliofanikiwa kimaisha

Tabia kuu saba za watu waliofanikiwa kimaisha

Ata mkikoment kwa english au kizungu haisaidii matajiri wa kibongo weng hawakwenda shule na pesa imejaa nyie na kiingereza chenu tunawaajiri na tunatumia akili zenu kufanikiwa zaidi na mkijichanganya na kizungu chenu tunawatukana sana sabu ss ndo matajiri na tumewaajiri wasomi

Lakin pia watu weng hawajui kutofautisha kati ya mafanikio na maitaji ya binaadamu

Kujenga nyumba mbili na kumiliki gar mbili tatu kumiliki biashara mbili au moja mjini ayo sio mafanikio ayo ni maitaji
 
1.hueka akiba kila mwezi

2. Huamka mapema asubui

3.Husoma vitabu kila siku

4.kuandika malengo yake kila siku

5.Hufanya mazoezi kila siku

6. Kua pamoja na watu wenye uwezo

7. Kutengeneza mpango wa maendeleo ya muda mrefu
Ila sio kwa bongo mkuu
 
Back
Top Bottom