Sio wewe tu, utafikiri umeona moyo wangu. ila iyo nyekundu afadhali nikae gerezani kuliko kuishi na mtu mwenye hahako katabia.TABIA MBAYA NDANI YA NDOA
Kukerwa na tabia fulani ni kitu cha kawaida katika maisha ya kila mtu. Yapo mambo ambayo yanamkera mtu binfsi kama yeye na mengine hutukera sote.
Mambo yafutayo ni kweli yananikera.
1. Chumba cha mke na mume kuwa chumba cha kuingia kila mtu. House girl, watoto etc..
2. Kumtukamna mke mbele ya watoto tena sometimes unatawatuka wote ( changanya).
3. Kumwadhibu mwenzio mkeo au mkeo kwa kununa, kukata msosi (tabia mbaya sana hii).
4. Kumwadhibu mwenzio kwa kunyima ile kitu (mnajua).
5. Kumfananiisha mke na watoto ( mfano ,wajinga kama mama yenu??).
6. Kutoboa siri za ndoa saluni (wanawake).
7. Kuliza habari za ujana za mkeo au mumeo wakati mumesha oana (upuuzi).
Mimi ni haya wewe ni yapi??
i kweli tupu uliyo sema, na yamenigusa japo sihusiki. Mara nyingi tumeshindwa kuwaheshimu wenza wetu, hata kutofautisha ,mambo ya ndani na ya nje. utakuta unabwatukiwa mbele za watoto, hata watoto wamekuwa wanajua kuwa kati ya mama na baba nani mkorofi.TABIA MBAYA NDANI YA NDOA
Kukerwa na tabia fulani ni kitu cha kawaida katika maisha ya kila mtu. Yapo mambo ambayo yanamkera mtu binfsi kama yeye na mengine hutukera sote.
Mambo yafutayo ni kweli yananikera.
1. Chumba cha mke na mume kuwa chumba cha kuingia kila mtu. House girl, watoto etc..
2. Kumtukamna mke mbele ya watoto tena sometimes unatawatuka wote ( changanya).
3. Kumwadhibu mwenzio mkeo au mkeo kwa kununa, kukata msosi (tabia mbaya sana hii).
4. Kumwadhibu mwenzio kwa kunyima ile kitu (mnajua).
5. Kumfananiisha mke na watoto ( mfano ,wajinga kama mama yenu??).
6. Kutoboa siri za ndoa saluni (wanawake).
7. Kuliza habari za ujana za mkeo au mumeo wakati mumesha oana (upuuzi).
Mimi ni haya wewe ni yapi??
TABIA MBAYA NDANI YA NDOA

hata mimi nashangaa!kuna tanzanite au mabomu?kwahiyo hata siku Mama anaumwa na Baba hayupo utafia ndani coz ni chumba cha wawili tu!?Unaficha nini chumbani?
hata mimi nashangaa!kuna tanzanite au mabomu?kwahiyo hata siku Mama anaumwa na Baba hayupo utafia ndani coz ni chumba cha wawili tu!?
Kuhusu kususia msosi, mwanamke sio mtu wa kumwamini hata kidogo. Kama mna ugomvi wa kindoa anaweza hata kukuwekea sumu kunako menu. Kwahiyo ni vizuri kususia menu mpaka mtakapotatua tatizo lenu.
Ila siungi mkono kuadhibiana kwa kunyimana katunda kaleee kenye tabu ya jasho!
i kweli tupu uliyo sema, na yamenigusa japo sihusiki. Mara nyingi tumeshindwa kuwaheshimu wenza wetu, hata kutofautisha ,mambo ya ndani na ya nje. utakuta unabwatukiwa mbele za watoto, hata watoto wamekuwa wanajua kuwa kati ya mama na baba nani mkorofi.
Ila hizo mbili zinanitia kichefuchefu ninapo ona mwenzangu anaziabudu. tabia mbaya kabisa
Mi sizipendi hizo tabia kabisa. lakini sidhani kama naweza kuwachukia wenye nazo.........coz hakuna aliye perfectMuache hizi tabia baba hapendi kabisa
TABIA MBAYA NDANI YA NDOA
Kukerwa na tabia fulani ni kitu cha kawaida katika maisha ya kila mtu. Yapo mambo ambayo yanamkera mtu binfsi kama yeye na mengine hutukera sote.
Mambo yafutayo ni kweli yananikera.
1. Chumba cha mke na mume kuwa chumba cha kuingia kila mtu. House girl, watoto etc..
2. Kumtukamna mke mbele ya watoto tena sometimes unatawatuka wote ( changanya).
3. Kumwadhibu mwenzio mkeo au mkeo kwa kununa, kukata msosi (tabia mbaya sana hii).
4. Kumwadhibu mwenzio kwa kunyima ile kitu (mnajua).
5. Kumfananiisha mke na watoto ( mfano ,wajinga kama mama yenu??).
6. Kutoboa siri za ndoa saluni (wanawake).
7. Kuliza habari za ujana za mkeo au mumeo wakati mumesha oana (upuuzi).
Mimi ni haya wewe ni yapi??
Mh mwanaume anaevuta mdomo na kususa chakula mh huyo hafai hata kwenda nae sehem, kwa ndugu, ukweni, hata kwa marafiki, atakuaibisha auvutee asuse na chakula mbona utajuta. Au anaeenda bar kulalamika kwa kila mtu kuhusu mkewe.Tabia hiyo sio nzuri kabisaa.