Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 17,796
- 32,150
Wakuu mko poa
Tuonge ukweli kuna tabia kwa mtoto wa kiume sio kabisa kuziendekeza kuna muda unasema uziache lakini unaona sio kweli,
Mtoto wakiume kupaka brich tena ya njano hii aikubaliki hata kwa sekunde
Mtoto wa kiume kupaka wave kichwani pia sio sahihi kwa mwanaume
Mwanaume kujichubua hapana mtoto wakiume paka mafuta ya kawaida non crime
Nimekutana na mtu juzi kajichubua sana halafu mtoto wa kiume nilimshanga sana
Mwanaume kupaka ina au rangi za kung'arisha kucha hii sio kweli
Na ukiona mwanaume anajisifu sana siku hizi kuhusu madem kuna mashaka sehemu fulani
Na mtoto wa kiume kupaka lip bam hii sio kabisa hivi izi akili mnazitoa wapi?