Tabia hizi zinakutambulisha vibaya mtoto wa kiume

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,145
Wakuu mko poa

Tuonge ukweli kuna tabia kwa mtoto wa kiume sio kabisa kuziendekeza kuna muda unasema uziache lakini unaona sio kweli,

Mtoto wakiume kupaka brich tena ya njano hii aikubaliki hata kwa sekunde

Mtoto wa kiume kupaka wave kichwani pia sio sahihi kwa mwanaume

Mwanaume kujichubua hapana mtoto wakiume paka mafuta ya kawaida non crime

Nimekutana na mtu juzi kajichubua sana halafu mtoto wa kiume nilimshanga sana

Mwanaume kupaka ina au rangi za kung'arisha kucha hii sio kweli

Na ukiona mwanaume anajisifu sana siku hizi kuhusu madem kuna mashaka sehemu fulani

Na mtoto wa kiume kupaka lip bam hii sio kabisa hivi izi akili mnazitoa wapi?
 
Wakuu mko poa

Tuonge ukweli kuna tabia kwa mtoto wa kiume sio kabisa kuziendekeza kuna muda unasema uziache lakini unaona sio kweli,

Mtoto wakiume kupaka brinch tena ya njano hii aikubaliki hata kwa sekunde

Mtoto wakiume kupaka wave kichwani pia sio sahihi kwa mwanaume

Mwanaume kujichubua hapana mtoto wakiume paka mafuta ya kawaida non crime
Nimekutana na mtu juiz kajichubua sana af mtoto wakiume nilimshanga sana

Mwanaume kupaka ina au rangi za kunga’risha kucha hii sio kweli

Na ukiona mwanaume anajisifu sana sikuizi kuhusu madem kuna mashaka sehemu fulani

Na mtoto wakiume kupaka lip bam hii sio kabisa hivi izi akili mnazitoa wapi?

Mbona unayemzungumzia hapo ameshakua sio mwanaume😥😥
Mungu tunusuru
 
Wakuu mko poa

Tuonge ukweli kuna tabia kwa mtoto wa kiume sio kabisa kuziendekeza kuna muda unasema uziache lakini unaona sio kweli,

Mtoto wakiume kupaka brinch tena ya njano hii aikubaliki hata kwa sekunde

Mtoto wakiume kupaka wave kichwani pia sio sahihi kwa mwanaume

Mwanaume kujichubua hapana mtoto wakiume paka mafuta ya kawaida non crime
Nimekutana na mtu juiz kajichubua sana af mtoto wakiume nilimshanga sana

Mwanaume kupaka ina au rangi za kunga’risha kucha hii sio kweli

Na ukiona mwanaume anajisifu sana sikuizi kuhusu madem kuna mashaka sehemu fulani

Na mtoto wakiume kupaka lip bam hii sio kabisa hivi izi akili mnazitoa wapi?
Si useme ulikuwa SINZA
 
Bukta sio shida sana hila ina tegemeana umevaaje jinsi ulivyo vaa ndivyo itakavyo kutambulisha
23B74780-3ECD-49A1-A130-6F9A0E9ED078.jpeg

Special grupu
 
Back
Top Bottom