MONTESQUIEU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 847
- 80
Swagger tu hizo. Neksti taimu fanya teki awei ukalie hom kwako!
na kwa taarifa yako hata wakati wanakipika hiko chakula tabia yao ni hiyo hiyo so hata ukifanya take away, haisaidii.
me wananiuzigi wakiwa wanakala huku wanavuta sigara at the same time. hii sasa nchini kwao ndo imekithiri. km kuna mwanajamii amewahi kukaa nchini mwao zaidi ya mwaka atakuwa anafahamu. its too bad!!!!!!!!!!!!
Kama unaweza kula vyakula vya Kichina, kamasi litaweza kukutia kichefuchefu? coz msosi tu mi natapika!!
Huwa napita pita nchi za Asia mara kwa mwara ....Wahindi na Wachina nimefanya nao kazi sana. Mchina kutema mate/kohozi mbele ya kadamnasi si jambo la ajabu. Hata ndani ya benki ataliweka.Na Mhindi kuchafua hewa sio jambo la aibu. Mtafanya kazi chumba kimoja lakini jamaa atakuwa anaachia ushuzi wenye harufa kali sana ya zile spices zao.... inakerai think ni mgahawa tu ulioenda mbona mingi tu iko shwari!
Huwa napita pita nchi za Asia mara kwa mwara ....Wahindi na Wachina nimefanya nao kazi sana. Mchina kutema mate/kohozi mbele ya kadamnasi si jambo la ajabu. Hata ndani ya benki ataliweka.Na Mhindi kuchafua hewa sio jambo la aibu. Mtafanya kazi chumba kimoja lakini jamaa atakuwa anaachia ushuzi wenye harufa kali sana ya zile spices zao.... inakera
Swagger tu hizo. Neksti taimu fanya teki awei ukalie hom kwako!
Mkuu baada ya wao kupenga makamasi mbele yako, je uliwaeleza juu ya kukerwa kwako na hiyo tabia? Manake wewe kama mteja una haki ya kumweleza mhusika dukuduku lako ili aweze kuboresha huduma yake, kwa manufaa yako kiafya na ya kwake kiuchumi.