Aisee..gheto kwako wapi?mm
nikikutembelea. Nko addicted kwenye kuangalia chupi hasa zilizovaliwa
zikafuliwa kisha zikatundikwa!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
tehe tehe tehe....wengine ndo ivo uso mkavuuuuuu hawajali wala nini...
Utakuta una mchuchu wako ila let say yupo chuo
Kwasababu mwanaume umeanza kazi na una kwako, basi huwa anakutembelea na mara nyingine analala kbs
Cha kustaajabisha sasa, utakuta anaacha chupi, sidiria, khanga au pedi hlf anaviweka sehemu vitakapoonekana kwa urahisi
Ukijaribu kuvihamisha labda uviweke kabatini anawaka kishenzi
Wanafanya hivi ili dem mwingine akija ajue una girlfriend tayari au ni ghiliba za nyani mzee tu!