Tabia hii ya madem walio wengi inaboa sana!

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
5,352
Reaction score
7,668
Utakuta una mchuchu wako ila let say yupo chuo

Kwasababu mwanaume umeanza kazi na una kwako, basi huwa anakutembelea na mara nyingine analala kbs

Cha kustaajabisha sasa, utakuta anaacha chupi, sidiria, khanga au pedi hlf anaviweka sehemu vitakapoonekana kwa urahisi

Ukijaribu kuvihamisha labda uviweke kabatini anawaka kishenzi

Wanafanya hivi ili dem mwingine akija ajue una girlfriend tayari au ni ghiliba za nyani mzee tu!
 
Kama ni mchuchu wako wa ukweli ulitaka akaache wapi kama sio kwako
 
Hahahahahahahahahahhahahahahaha umenivunja mbavu ujue.Abiria chunga mzigo wako...
 
kama ni hivo si bora angezitundika tu hapo sebuleni kila mtu azione kuliko kuziacha chumbani
 
Kama ni mchuchu wako wa ukweli ulitaka akaache wapi kama sio kwako

Sawa aache kwangu lkn nivihifadhi kabatini, sio viwekwe hadharani! what if bi mkubwa akaja kunitembelea akakuta vyupi vya kike vimezagaa maghetoni...
 
[FONT=century
gothic]Kujiamini ni pamoja na kuacha vitu vyake kwako bila pingamizi
toka kwako, vinginevyo imani yake kwako itapotea.[/FONT]

Sawa aviache kwangu lkn nivihifadhi kabatini sio vianikwe hadharani!
 
Sawa aache kwangu lkn nivihifadhi kabatini, sio viwekwe hadharani! what if bi mkubwa akaja kunitembelea akakuta vyupi vya kike vimezagaa maghetoni...
Mkuu sidhani kama huyo mchuchu anaweza acha hizo nguo hapo sebureni au hadhara ipi unayoisema wewe, pia kama ni chumbani sidhani kama bi mkubwa anaweza ingia chumbani kwako katika hali ya kawaida.
 
Ndo Vizur Hvo,kwan Kuna Hatar Gan?tena Bora Yeye,mbona Wengne Waenda Kulala Kwa Mwanamke Na Anaacha Condom!
 
Mkuu sidhani kama huyo mchuchu anaweza acha hizo nguo hapo sebureni au hadhara ipi unayoisema wewe, pia kama ni chumbani sidhani kama bi mkubwa anaweza ingia chumbani kwako katika hali ya kawaida.
Katusemea sisi tuliopanga chumba kimoja
 
Utakuta una mchuchu wako ila let say yupo chuo

Kwasababu mwanaume umeanza kazi na una kwako, basi huwa anakutembelea na mara nyingine analala kbs

Cha kustaajabisha sasa, utakuta anaacha chupi, sidiria, khanga au pedi hlf anaviweka sehemu vitakapoonekana kwa urahisi

Ukijaribu kuvihamisha labda uviweke kabatini anawaka kishenzi

Wanafanya hivi ili dem mwingine akija ajue una girlfriend tayari au ni ghiliba za nyani mzee tu!

Hapo kwenye Bold, hiyo kitu inakuwa used au mpya kwenye boksi lake? Kama used huyo mwanamke ni mchafu aisee khaaah!!!!!
 
Katusemea sisi tuliopanga chumba kimoja
Sawa mkuu nimekupata , ingekuwa hivyo sawa kabisa ingeeleweka, ila sidhani kama ni hivyo kwa huyu mleta mada maana hajasema anaishi mazingira gani, labda atakuja aseme hapa, ili tubadili mwelekeo wa mjadala huu
 
Wewe kama hata kupanga tu uwezo wako ni wa chumba kimoja asa utaweza kuhudumia mwanamke? Na kama wewe ni mtu mzima mamako atakuwa anatafuta nini chumbani kwako?? Au unamaanisha 'majimama'??? Mimi chumbani kwa mchuchu kuna nguo zangu kibao... Na hajawah lalamika na kila nikienda nazikuta pale pale kama zilinata vile. We kama umefika hapo wala usinune ila kama unaendelea kutafta watu wengune kweli lazima uliwe shida
 
Back
Top Bottom