Hapo kwenye
Bold, hiyo kitu inakuwa used au mpya kwenye boksi lake? Kama used huyo
mwanamke ni mchafu aisee khaaah!!!!!
Mkuu sidhani kama huyo
mchuchu anaweza acha hizo nguo hapo sebureni au hadhara ipi unayoisema
wewe, pia kama ni chumbani sidhani kama bi mkubwa anaweza ingia chumbani
kwako katika hali ya kawaida.
Wewe kama hata kupanga tu
uwezo wako ni wa chumba kimoja asa utaweza kuhudumia mwanamke? Na kama
wewe ni mtu mzima mamako atakuwa anatafuta nini chumbani kwako?? Au
unamaanisha 'majimama'??? Mimi chumbani kwa mchuchu kuna nguo zangu
kibao... Na hajawah lalamika na kila nikienda nazikuta pale pale kama
zilinata vile. We kama umefika hapo wala usinune ila kama unaendelea
kutafta watu wengune kweli lazima uliwe shida
Kuna siku moja aliacha
kanga mwenzie alivyoikuta nikamdanganya nimemnunulia atumie akiwa kwangu
akatulia.
Mwingine aliacha viatu vichafu akavikuta kwenye kabati na uchafu
nilijitetea mpaka tukagombana ndo nikashinda.
Ila hiyo ni security na hatimiliki.
Aisee kumbe victims wa tabia hizi tuko wengi?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Aisee..gheto kwako wapi?mm nikikutembelea. Nko addicted kwenye kuangalia chupi hasa zilizovaliwa zikafuliwa kisha zikatundikwa!!Utakuta una mchuchu wako ila let say yupo chuo
Kwasababu mwanaume umeanza kazi na una kwako, basi huwa anakutembelea na mara nyingine analala kbs
Cha kustaajabisha sasa, utakuta anaacha chupi, sidiria, khanga au pedi hlf anaviweka sehemu vitakapoonekana kwa urahisi
Ukijaribu kuvihamisha labda uviweke kabatini anawaka kishenzi
Wanafanya hivi ili dem mwingine akija ajue una girlfriend tayari au ni ghiliba za nyani mzee tu!
​hahahaaaa!!umenikumbusha mbali wewe!!!!
Ulikuwa unafanya ivo ivo nn lok
. Bi mkubwa wako anaingia mpaka chum ani kwako?????Sawa aache kwangu lkn nivihifadhi kabatini, sio viwekwe hadharani! what if bi mkubwa akaja kunitembelea akakuta vyupi vya kike vimezagaa maghetoni...
Mkuu kwa kifupi namaanisha anatundika vyupi kwenye sehemu ambayo mtu akizama chumbani kwangu anaviona straight na anaweza kuidentify kwa urahisi sana kwamba ni nguo za ndani za kike
Kuhusu bi mkubwa kuzama gheto, mama angu ananitembeleaga almost kila mwisho wa wiki na udhaifu wangu mkubwa tangu mdg ni kutotandika kitanda so huwa anazamaga kucheki kama nimebadilika.
Aisee kama bado unafuatiliwa na bi mkubwa mpka leo basi ni hatari sana, sijui na wala sitaki kufuatilia maisha yako ila kama bi mkubwa anaweza ingia chumbani kwako basi huyo mwanamke utakaye kuwa nae ataipata sana maana inaonekana hutakuwa na maana maamuzi wewe kama wewe. kila la heri ila ukubali kwa sasa huna hadhi ya kuwa na mchuchu maana kama vyupi tu inakuwa ishu je utaweza kumtunza kweli bila malalamiko?
sasa je ili akija mwingine
ajue kabisa kua kuna mama
mwenye mji khaaa!!