U Uswe JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,204 Reaction score 627 May 22, 2013 #41 spleen said: Hivi kwa nini hawa watu(sio wote) wanapenda sana wanawake na pombe... Click to expand... hii ni roho ya dhambi, hamna uhusiano wowote na udaktari ila una uhusiano na roho chafu, dawa ni YESU Kristo
spleen said: Hivi kwa nini hawa watu(sio wote) wanapenda sana wanawake na pombe... Click to expand... hii ni roho ya dhambi, hamna uhusiano wowote na udaktari ila una uhusiano na roho chafu, dawa ni YESU Kristo
Izz JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 750 Reaction score 322 May 22, 2013 #42 We spleen ni sukari ya warembo nini?......Acha ugoni kijana.....hayo mambo ni kujiendekeza tu, soma kwa bidii na fanya mazoezi! Halafu sio eneo hilo tu ndio kuna wagoni, maeneo yote ya kitaaluma yana watu wa haina hiyo! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
We spleen ni sukari ya warembo nini?......Acha ugoni kijana.....hayo mambo ni kujiendekeza tu, soma kwa bidii na fanya mazoezi! Halafu sio eneo hilo tu ndio kuna wagoni, maeneo yote ya kitaaluma yana watu wa haina hiyo!
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 May 22, 2013 #43 Nyalotsi said: unaona ujinga unaouandika? Click to expand... huyo hajitambui, hajielewi, hajijui