Hivi kwa nini hawa watu(sio wote) wanapenda sana wanawake na pombe,hii kitu inatokana na nini, binafsi nipo medical school namshukuru mungu kwenye alcohol lakini kwenye hao viumbe huniambii kitu, hata nikicheki jamaa walio kazini na wa madarasa ya mbele ni noma,inatokana na nini hii kitu wadau? msaada wa mawazo kuhusu sababu na jinsi ya kujiepusha au kuacha binafsi sijawa addicted kivilee!!!!
Pande za kairuki hapa mwaka wa tatuMedical school? Which university? Upo mwaka wa ngapi?
Jibu halafu nitakushauri.
pole sana,wengine wanalazimisha kuchungulia nanihii wakati ugonjwa uliokupeleka hosp hauhusiani na nanihiiii.......ni kubadilisha mfumo ktk ubongo wako na kumtanguliza Mungu ktk mienendo yako hakika hofu ya Mungu itakuokoa
ndo maana unawaza ujingaPande za kairuki hapa mwaka wa tatu
Sasa wewe ambaye uko hivyo ndio unauliza badala ya kuulizwa?!!!
Jibu lina patikana kwenye 12 principles of medical ethics in Tanzania. Natafuta Soft copy nikiipata nitakurushia kwenye PM. Au muobe mwalimu wako wa Medical ethics hicho kitabu ukisome utapata majibu.Pande za kairuki hapa mwaka wa tatu
nimeona bora niwaulize na wadau wengine manake hapa campus utawasikia wanasema eti wanaondoa stress,ingawa hiyo point ina ukweli ndani yake manake nikitokaga kwa manzi nikiingia pindi naelewa kinomaSasa wewe ambaye uko hivyo ndio unauliza badala ya kuulizwa?!!!
unajua hawa watoto wa tcu ni shida sana.
ukiona daktari anakimbilia kuchungulia k yako fuatilia vizuri level yake ya elimu. wapo wachache ambao ni wapuuzi naturally huwezi kuwakwepa.a good doctor will not rush to inspeck your k kama huna tatizo linaloendana na huko. na k zenu zilivyo mbaya!
ushauari wako mkuu unahitajika na sio kuniponda,hata hivyo hii tabia si ya wote ni ya wengi,mi mwenyewe naichukia!!!!dogo soma shule, huo uzinzi ni wa kwako usisingizie na wengine kujustify madudu unayoyafanya. kuna watu wengi wanatoka medical schoo wakiwa TANO BILA.(5-0) ni wachache sana na wewe ukiwa mmoja wao mnaoendekeza uhayawani. wengine wanakuwa na watu wao wanaoleweka we unadhani wanachovyachovya kumbe wana mipango yao.
Ahsante mkuu kama kila upumbavu uliowahi kuufanya tangu uzaliwe huwa unamuuliza muumba kuuacha,hata hivyo haujatoa ushauri wowote zaidi ya kujinadi eti wewe ni mtaalam wa mawasilianoKumezuka tabia baina ya Watanzania ya mtu kuona upumbavu nalo ni jambo la kujisifia kiasi aliseme kwa madaha mbele za watu.
Sidhani kama kuna ushauri wa maana wa kupewa na binadamu. Mimi ni mtaalam wa mifumo ya mawasiliano, device yeyote ikileta shida huwa narefer technical manual ambayo hutolewa na manufacturer. Sasa na wewe yupo aliyekuumba kwa hiyo ni bora umuulize yeye ufanyaje ili uache UPUMBAVU
kivipi mkuu fafanua kama msomi,umetumia criteria zipi kuconclude hivyo....ndo maana unawaza ujinga
ki-ukweli sikuwa na tabia hiyo ila tulipokuwa mwaka wa kwanza kuna lecturer mmoja alitufundisha jinsi ya kumjua bikra,anayehitaji kugegedwa(hot period) na aliyetoa mimba kwa kumuangalia nikajikuta naitumia hiyo nafasi tabia ambayo imenicost licha ya kujitahidi kupiga zoezi la kufa mtu kama wadau wengi wanavyoshauri humuau unafanya practical?