tabia hii mmeitoa wapi?


mkuu choo hakipo mbali kabisa labda ni tabia aliyezoea huko kwao.
 
nitajaribu hii mkuu. inawezekan kawa anogopa kweli

sio inawezekana,yani ni anaogopa kweli kama kazoea choo cha ndani alafu hicho kipo masafa marefu lazima atafute plan B au mtafutie pot..............lolest
 

swla ni kwamba anaogopa kukojoa usiku usimsikie akikojoa ivi sharriiiiiiiiiiiiiiii afu ni mjinga anaogopa nn? kwan choo iko nje? je chupa alizitoa wap?
 

sion kosa kusema eti ni mrembo hapo hakuna taabu
 
Kama wewe ni ME ... swali ni kwanini lenda kuchungulia chumba cha mgeni wakike?... ulikuwa unatafuta nini?... ulichokuwa unatafuta ukakikosa ukakutana na maajabu mengine..
 
Umenikumbusha maisha ya kijiji kwetu.tulikuwa nalo kopo LA kukojolea ila mapema tu asubui tushamwaga.
 
mkuu kuna ubaya gani kwenda kuchungulia ili kujua unaishi na mgeni wa aina gani?

bize kabisa kuchungulia chumba cha binti afu unaona sawa mh kama nakuona umebong'oa kwenye kitasa unachungulia.....
 
Mh mh mmmmmhhhhhhhh, kuchungulia chumbaa cha mgeni tena wa kike?!
 
acha umbea mkuu...nini kilikufanya ukachungulie chumba cha mtoto wa kike?
 
ipo siku utambaka huyo binti, halafu chupa za coka anakojoaje? anaiingiza ndani au? mimi nimezoea kuona wengi wakikata madumu nusu. ila ni uchafu aisee.
Sasa sijui analengaje,ama mdomo wa chupa anauingiza kwenye tundu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…