mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Kosa lako kubwa ni kuwa; hutaki kusema kaukweli tu. Kwanza umezamia chumba cha mgeni, Ili iwe nini?? Pili tayari ushasema kuna kipindi ulishawahi kuzuliwa skandali ka hilo? Ulizuliwa au ulipeleka maombi yakabuma? Tatu, kama kweli ulimpokea kama dadako, iweje uanze kumgredi ati Mrembo? Dadako umwone mrembo kweli?? Huku umeshanusa kojooo lake. Ptuuuu. Nimekuzarauje! Acha kumezea vya ndani, nenda nje wamejaa tele usitumie uhitaji wa mtu kumla
nawe hiyo tabia ya kupiga chabo chumba cha binti umeitoa wapi?
inawezekana ni jambo ambalo uwa analifanya sana uko nyumbani kwao........mana mtoto uleavyo ndivyo akuavyo.....
mkuu hujawahi kuona wazazi wanaita binti zao warembo? unashangaa dada tena usiyezaliwa nae!
Mhh.Kumbe hata mabinti wanaweza kulenga mkojo kwenye chupa ya soda!!!!
Matunda ya JKT yanaonekana wazi sasa huyo binti ni sniper wa ukweli.
ipo siku utambaka huyo binti, halafu chupa za coka anakojoaje? anaiingiza ndani au?
Mwambie awe analala chumbani kwako ili akitaka kukojoa uwe wamsindikiza chooni...
aise ametishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
mwambie awe anakuamsha umsindikize