hivi shosti lazima mwanaume akupe hela? kama hana?Its kind of cool kumwagia mpenzio sifa katika kutamba wa nani zaidi!!!!!!!!!!!!! Ila sifa zikizidi inabidi uchukue tahadhari ohoooooooooo! Hawakawii kukufanyia substitution na kujimilikisha wao!!!!!!! We si umetuita haya tumekuja jumlaaaaaaa! Mi for INSURANCE PURPOSES NATANGAZAGA KWA MASHOSTI HAKUNA MWANAUME BAHILI KAMA MCHAGA YULEEE!!!!!!!!! NASISITIZA HATA YA LOSHENI SIPEWI!!!!!! Basi wanashtukaje na kutoka baruuuuuuu. Kweli bahili hapati mke! lol! Taratibuuuuuuuu najilia vyangu bila ushindani!!!!!! Najua hata akiwataka yeye watamtoa baruuuuuuu! Bahili amtake nani?!!!!! Mjini mipango!!!!!!!!
sijawai au sijui kama wanaume huwa wanasimuliana kuhusu wake au wapenzi wao
but wanawake ndo zetu kwa kweli sijui huwa tunawashwa nini,yaani huko fb kuna magroup kibao ya wanawake .story nyingi ni za waume zao...ooh mume wangu jamani akikukiss??????? oooh mume wangu kanipa laki ya saluni??? mume wangu hapendi kulala chini???????? puuu blah blah kibao
yaani ndivo tulivo hapa hata mimi natamani kuwasimulia ni vile tu yupo humu
kama kuna mwanamke hahjawai kusimulia sifa flani flani za mume/mpenzi wake kwa mashost zake aseme hapa...hakunaga!
hivi shosti lazima mwanaume akupe hela? kama hana?
ihihiiii aisee!pesa zipo tu LARA1 hata wewe mwenyewe unaweza kuzitafuta bwana...mimi moyo wangu haujui kumpendea mtu pesa ingawaje napenda sana mizinga but kama hana as long nampenda na yeye anipende kiukweli lakini mi hapo poa tu!Kama hana huyo lazima awe mbali na mimi MITA 700 JUU YA UKANDA WA BAHARI!!!!! Khaaaaaaaa! Sijaja mjini kufanya kazi ya kupaka rangi majogooo!!!!! Mtaji wa masikini ni nguvu zake menyewe!!!!!! Ohooooo!
ihihiiii aisee!pesa zipo tu LARA1 hata wewe mwenyewe unaweza kuzitafuta bwana...mimi moyo wangu haujui kumpendea mtu pesa ingawaje napenda sana mizinga but kama hana as long nampenda na yeye anipende kiukweli lakini mi hapo poa tu!
kumbe sipendwi eeeh...sasa utafanyeje akupe?Hongera sana smile!!!!!!!!! Mi mtu akiwa hanipi mbesa nahisi kama NATUMIKA BUREEEE hivi! Nahisi kuna mtu anampendaaa ndo anampa pesa alafu mimi ananichukulia design flani KAZI YA NJE/PART TIME!!!!!!!! Yaani nakuwa na mashaka mazito juu yake!!!!!!!!!! Sijui kwa nini? Tatizo watu hawaaminiki.
Its kind of cool kumwagia mpenzio sifa katika kutamba wa nani zaidi!!!!!!!!!!!!! Ila sifa zikizidi inabidi uchukue tahadhari ohoooooooooo! Hawakawii kukufanyia substitution na kujimilikisha wao!!!!!!! We si umetuita haya tumekuja jumlaaaaaaa! Mi for INSURANCE PURPOSES NATANGAZAGA KWA MASHOSTI HAKUNA MWANAUME BAHILI KAMA MCHAGA YULEEE!!!!!!!!! NASISITIZA HATA YA LOSHENI SIPEWI!!!!!! Basi wanashtukaje na kutoka baruuuuuuu. Kweli bahili hapati mke! lol! Taratibuuuuuuuu najilia vyangu bila ushindani!!!!!! Najua hata akiwataka yeye watamtoa baruuuuuuu! Bahili amtake nani?!!!!! Mjini mipango!!!!!!!!
sijawai au sijui kama wanaume huwa wanasimuliana kuhusu wake au wapenzi wao
but wanawake ndo zetu kwa kweli sijui huwa tunawashwa nini,yaani huko fb kuna magroup kibao ya wanawake .story nyingi ni za waume zao...ooh mume wangu jamani akikukiss??????? oooh mume wangu kanipa laki ya saluni??? mume wangu hapendi kulala chini???????? puuu blah blah kibao
yaani ndivo tulivo hapa hata mimi natamani kuwasimulia ni vile tu yupo humu
kama kuna mwanamke hahjawai kusimulia sifa flani flani za mume/mpenzi wake kwa mashost zake aseme hapa...hakunaga!
ok sawa....hatutaadisia tena..........