Tabia halisi ya watu wa Mtwara

Nani mwenye hizo hekima na busara? Mkuu mimi sioni miongoni mwaq hawa; JK, Pinda, Wassira, Lukuvi, Lusinde, Serukamba, Nkamia, nani naomba nisaidiwe
Jioni njema Mkuu,
Tusikate tamaa (yaani majirani au ndugu wakigombana) ni wajibu wa waTanzania kusuluhisha au kuForm lejina/committee
la kuliokoa taifa katika msiba/balaa hii....!! sii lazima mtu uwe mtuhumu,hakimu,mtawala,muwamuzi,mtoa amri nk.
Tujenge utamaduni wa kuwepo kwa suluhisho za CRISIS/CONFLICTS ni jukumu la wananchi. tuombe yalo naheri.
good luck
 

Hao polisi wenyewe si watapigwa mishale kila siku'
 
Mtaji umerusha mateke!
CCM kwisha kiburi, ukanda wa kusini mliokuwa mnajidai ngome yenu mambo ndo hayo!

Akili ndogo hapa haina la kufanya
 

Ya Ken Sarowiwa of the ogoni fame in Nigeria yanawasubiri watawala wetu wasikivu; sikutarajia Waziri Muhongo awe muongo kiasi hiki na dharau na misimamo hewa!?
 
Serikali ya CCM inashindwa kujua kama KOBE HAPIMWI JOTO sasa watakiona cha moto mtwara ndio wameanza usiombee machinga wa huku bongo nao wakiamua kukianzisha

dar hawawezi wenfi wenu hapa ni waoga kazi yenu ninyi ni kuwacheka tru watu wa mikoani lkn nyie ni maboya sana.
 
Serikali ya CCM inashindwa kujua kama KOBE HAPIMWI JOTO sasa watakiona cha moto mtwara ndio wameanza usiombee machinga wa huku bongo nao wakiamua kukianzisha

dar hawawezi wengi wenu hapo ni waoga kazi yenu ninyi ni kuwacheka tu watu wa mikoani lkn nyie ni maboya sana. jidanganyeni na ccm yenu watu ndio wanawasha indicator sasa.
 
hivi kinawashinda nini viongozi wa nchi hii kusema, bomba lisimamishwe kujengwa mpaka muafaka upatikane?
 
Gesi haitoki hata kwa bomba la sindano.
Gesi kwanza uhai baadae.
Mabango ya wana Mtwara ndivyo yanavyosomeka asubuhi hii
 
Nimeona post hii hii kwa mchambuzi wa soka edo kumwembe on his facebook account maneno yote sawa sawia ndio wewe nini bujibuji tehteh
 
Naona ndugu zangu mnapenda vurugu zitokee nchini hata bila sababu ya msingi.Mbona serikali ime ainisha kwa ufasaha jinsi watu wa mtwara watakavyonufaika na hiyo gesi.Kuna matatizo mengi yanayotakiwa kutatuliwa na serikali na siyo kuifanya itumie muda mwingi kuzima vurugu kwa mabomu.
 

hv unajua maana ya ahadi hewa? Stuka,kigoma kuwa dubai.
 
...Watanzania wengi Hamjui hali halisi iliyokuwa Mtwara,Tatizo la Mtwara siyo Gas pekee ni Njaa ndiyo inafanya watu kudai Gas isiende dar mpaka zile Ahadi zilizo tolewa na Serikali zikamilike kama vile ajira kwa Watanzania,Hapa Mtwara kuna tatizo la Taarifa Potofu toka kwa Baadhi ya Viongozi kwa Serikali na kwa Watanzania Wote.Wawekezaji wamekuja mtwara lakini ni wababaishaji wameidandanya Serikali ktk Mpango kazi wao hawalipi mishahara kama waliyotoa ahadi kwa serikali walisema watota elf10 kwa siku wanatoa 5kwa siku,watu wameomba kazi za udereva wakapata lakini wanabebeshwa mawe,watu wanavuliwa nguo Hadharani na kudhalilishwa na Waajiri wao watu wanahoji wanaambiwa Wachochezi,Biashara zote zinafanywa na Makampuni toka nje ya Mtwara hivyo ela inatoka nje wenyeji hakuna mzunguko mzuri wa Fedha,TRA wana wabana wafanyabiashara kwakudhani kuna Mapato kumbe Hakuna ,Watumishi wa Kawaida wa Serikali hali ni mbaya Maisha ni juu Mtwara Usipime lakini ni Taarifa zinazofichwa na viongozi ,JE RAIS UNAYAJUA HAYA?,Nenda Idara ya Takwim mtr utapata Actual data so Life inakuwa Mbaya na watu wanaamua kuhoji serikali yao wanaambiwa Wanafanya fujo,jua wanao ibana Mtwara Ndiyo walio bana kule kwenye MADINI na Misitu hivyo Mtwara inaamua kuwafungua Macho Watanzania kuhusu Haki yetu,Rais Anadanganywa na Hali halisi ya Mtwara,Rais tumia watu wako wa Usalama wa taifa Uone kama kutakuwa na vipeperushi au mtu kufanya fujo na wala hakutakuwa na Mabomu mitaani kwani itakuwa rahisi kuwa kamata wakorofi kuliko kutumia Mambomu bila ya kufanya Upelelezi,mambomu yanayotupwa Ovyo yanaongeza chuki kati ya Wananchi na Serikali yao na pia tunawapa nafasi Maadui kuingia ktk jamii zetu.Mtwara Tajiri watu wake wengi masikini lakini ni waaungwana.Angalia Mungu alivyokuwa anatisha wale ASKARI JESHI LA WANANCHI waliokuwa natoka Nachingwea kuja Mtwara Mungu amestopisha Maafa. zaidi toka lini Askari wa Jeshi la Wananchi ashiriki ktk kutuliza Ghasia,Ghasia ambazo ki ukweli hakuna ata Mwananchi mmoja alikuwa na Bunduki au kulikuwa na majibishiano ya Risasi za Moto kati ya Polisi na Wananchi,Viongozi tumieni Busara ktk kuwatumia hawa Wanajeshi wetu musiongeze Uhasama kati ya jeshi la wananchi na Raia ni Hatari jamani ,huu ni Ushauri
 
wakati huo nilikuwa napiga mzigo IRINGA,mageuzi ya wakati ule ilikuwa balaa.IRINGA NAWAKUBALI KAMA MTWARA LEO, ARUSHA, MBEYA,KILIMANJARO NA MWANZA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…