Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,828
- 168,067
Sikuwahi kufikiri kama Iringa wangeunga mkono UPINZANI, lakini kwasababu ya viongozi waliopo madarakani kujilimbikizia mali na kuendelea kuboresha maisha yao Iringa wamechoka.
U cant stop the rainWakati ukifika, hakuna anayeweza kuzuia
Sio watu wa Mtwara pekee ambao hawapendi "majibu ya mepesi kwenye maswali magumu" bali kila mahala watu hutaka kupata majibu mazuri na yenye kujidhihirisha.
Huko kwingine nakubaliana na wewe isipokuwa Watu wa Dar tu!
Sikuwahi kufikiri kama Iringa wangeunga mkono UPINZANI, lakini kwasababu ya viongozi waliopo madarakani kujilimbikizia mali na kuendelea kuboresha maisha yao Iringa wamechoka.
CCM wameshindwa kusoma alama za nyakati
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]Wameweza kuzisoma vizuri ndio maana wanazidisha kununua Mabomu ya machozi, Kuwapa ujasiri makamanda wa Polisi kutumia hata nguvu kuhakikisha wananchi hawakusanyiki na wakajadili mambo fulani fulani, Kuhakikisha magari ya Washawasha yanakuwepo katika sehemu zote tete kwa muda muafaka, Kuhakikisha kuna bajeti ya mafuta na gharama za kutuma vikosi popote pale kwa ajili ya kuongeza nguvu ya kutuliza ghasia, Kuita kila kauli inayokinzana na matakwa ya wakubwa hata kama ndio uhalisia kuwa ni uchochezi na haina nafasi ya kujadiliwa. N.k.
Moto Unawaka Mtwara. Nimesoma Mtwara...ukiwatazama kirahisi watu wake unaweza kudhani mafala...niliposikia nao wameanza maandamano ya kudai haki zao nikajua sasa shughuli imeanza. hakuna watu wabishi kama watu wa Mtwara....Machalii wa Arusha wanasubiri, Wanyakyusa wanasubiri.....watawala kazi wanayo hapo..tabia ya majibu mepesi kwa maswali magumu usiwapelekee hao jamaa!
Hekima na Busara yahitajika haraka sana...!! mambo ni mazito.
Wale asili yao South Afrika, mkuu.
nafikiri unajuwa ninachomaanisha.