[emoji3][emoji3][emoji3]Unakuta mtu firigisi au paja kalificha mbali kabisa chini ya hotipoti au sahani kubwa, na mimi bila kula hivyo vitu kwenye kuku ni kama sijala, kwa nini nisikitafte hadi nikipate, na kama hakipo nauliza kabisa mbona sioni firigisi???!! Hahaha.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Wageni wake walisha mshitukia anaficha vipande vizuri chini, juu anaweka vipapatiro, kwa hiyo namshauri next time alete huyo rosted kuku kwenye sahani kubwa ambapo kila kipande kinaonekana.
Ajabu hili lijamaa litoa mada linaonekana lichoyo lakupwa.Sasa wewe kwanini ukiweke hicho kipande mbali..? Ni ili ukikute wewe au? [emoji16][emoji16]
Halafu vipapatio na mgongo juu wewe lazima nisake pajaHahaa... yaani vipaja anavichimbia chini kabisa... haha
Hakuna kitu nachukia kama mpira
Duh!!!kumbe nikija kwako utanitimua maana ndio zangu hizotabia ya kulala kwenye makochi.
[emoji3][emoji3][emoji3]Ajabu hili lijamaa litoa mada linaonekana lichoyo lakupwa.
Big Baba
Mpuuzi huyu tutaendelea kuchambua ili tupate mambo yakinifu hatukomi kujaAnakua amejiwekea yeye akijua wageni mtachukua za juu ambazo ni vipapatio na shingo alafu yeye wamwisho akakutane na firigisi na mapaja [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo mtuliage makwenu mpaka mnasema humu au mkienda kula kabisa kwakoAjabu hili lijamaa litoa mada linaonekana lichoyo lakupwa.
Big Baba
We kauzu duuh [emoji23] [emoji23]Unakuta mtu firigisi au paja kalificha mbali kabisa chini ya hotipoti au sahani kubwa, na mimi bila kula hivyo vitu kwenye kuku ni kama sijala, kwa nini nisikitafte hadi nikipate, na kama hakipo nauliza kabisa mbona sioni firigisi???!! Hahaha.
Aisee wewe sasa umezidi unokoMgeni kuja na kuanza kuchunguza chunguza vitu vyako mara hiki mara kile..
Ndio maana kwangu nimeweka bango dogo lenye ujumbe "Mgeni karibu kwangu ila utakayoyakuta huku yaache huku huku'
Sasa kama hataki tuende mbona anatukaribisha na kutuchinjia kuku harafu anataka atupangie nyama ya kuchukua HATUPANGIWINdiyo mtuliage makwenu mpaka mnasema humu au mkienda kula kabisa kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ahahahaAisee wewe sasa umezidi unoko
Mpuuzi huyu tutaendelea kuchambua ili tupate mambo yakinifu hatukomi kuja
Big Baba
Kuingiza vidole puani na kuchokonoa pua
Hapo anakosea kama hataki mle kuku awe anapika maharagwe na bamiaSasa kama hataki tuende mbona anatukaribisha na kutuchinjia kuku harafu anataka atupangie nyama ya kuchukua HATUPANGIWI
Big Baba